Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Kuna tofauti yoyote kubwa ya kijamii kati ya unguja na pemba?
Ni wale wale mkuu maana wapemba na waunguja ukiangalia kwa undani ni mchanganyiko.. Baba kazaa nani ( nikisema hivi nafikiri unanielewa ) sema kuna baadhi ya wanaoishi Unguja hujifanya wao hawaijui Pemba lakini ukijaribu kuuliza ambae yeye ni muunguja tu hajahusu Pemba iwe babu, bibi au mjomba basi utapata wawili kwenye mia.. Na hao wawili wanatokea bongo. Sema kinachoiharibu Unguja ni kwamba wageni wamekuwa wengi mno ambao maadili yao sio mazuri.

Mpemba halisi
 
Ni wale wale mkuu maana wapemba na waunguja ukiangalia kwa undani ni mchanganyiko.. Baba kazaa nani ( nikisema hivi nafikiri unanielewa ) sema kuna baadhi ya wanaoishi Unguja hujifanya wao hawaijui Pemba lakini ukijaribu kuuliza ambae yeye ni muunguja tu hajahusu Pemba iwe babu, bibi au mjomba basi utapata wawili kwenye mia.. Na hao wawili wanatokea bongo. Sema kinachoiharibu Unguja ni kwamba wageni wamekuwa wengi mno ambao maadili yao sio mazuri.

Mpemba halisi
Ni kweli kuwa mnachukiana sana kwa kigezo cha siasa na ukanda ule wa kusema Mimi Pemba wewe unguja?
 
Mh. Katibu natambua uwepo wako.

Imetolewa na kaimu mwenyekiti Comments Readers Association
( C.R.A- JF Branch, DSM Wing).

J.Comey
[emoji121]
Nakukumbusha kuwa fomu za kugombea uenyekiti zimesitishwa kutolewa,

Hivyo utaendelea kukaimu mpaka pale itapotolewa taarifa rasmi ya uchaguzi.

"Katibu Mwenezi wa Wasoma Comments."
 
Ni kweli kuwa mnachukiana sana kwa kigezo cha siasa na ukanda ule wa kusema Mimi Pemba wewe unguja?
Hapo ndo panapo mtihani haswaa maana ukiwa Mpemba unaonekana wewe cuf wa Unguja ccm sasa vurugu linaanzia hapo.

**Mpemba halisi**
 
Ni story ndefu mkuu siwezi kuandika hapa. Unajua mara nyingi ukionekana unaweza kujihudumia watu wengi hawapendi wakiona ukifanikiwa sio hilo tu wakikuona una afya nzuri tu nalo pia ni tatizo... Yaani kwa ufupi utaishi kwa shida vinginevyo na wewe uingie kwenye ushirikina mshindane kama mbwai iwe mbwai. We acha tu, huoni mfano mdogo baadhi ya wavuvi wa kipemba wakija Bara hawataki kurudi tena kwao ? Jiulize sababu ni nini ? Mimi kipindi sijapata kazi niliwekewa vizingiti ili nisiganikiwe kwa lolote na hata nikifanikiwa nisione matumizi yangu.
Kuna siku nilishaondoka na hirizi kufika Bara nikaitupa kwa makusudi niliona haina tena haja lakini sikukaa mda mrefu yule mganga wangu akanipigia sim na kunieleza kwamba mzigo alionipa nimeudharau nitapata tabu sana vinginevyo niombe likizo akanipe dawa ya kuoga. Mkuu ni stori ndefu mpaka kufika Pemba kanisimulia sehemu nilipoitupa nikashangaa na hajawahi kufika hata siku moja. Na pia nilikua kicheche sana na yote akaniambia na kuna mwanamke akamtaja kwa mifano kwamba ndo niko nae kwasasa naharibu pesa kwa kumuhudumia lakini hapo alikua kapandisha mashetani yake. Nikamkatalia kinafiki lakini ilikua ni kweli akajaribu kunambia kama unakataa je siku ukienda kuzini nikukatushe nguvu za kiume? Nikamjibu hapana usije ukaniletea balaa... Kumbe aliekwenda kushitaki ni mke wangu kwa yule mmama maana ni mwanamke huyo mganga. Wife aiamwambia anifanyie vitimbi nikitaka kuzini ngoma ilale duh!.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmmh!!! Ushirikina nje nje[emoji1] [emoji1] [emoji1]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kwamba kuwapata watoto wa kike kumaliza shughuli zako ni ngumu sana tofauti na Bara. Kuna rafiki yangu ni mwanajeshi yuko Pemba ananiambia hapendi kukaa Pemba ni basi tu imeshabidi maana anatafuta dem amalize nyege zake anaishia kupiga punyeto. Kwa ufupi ukifikia umri wa kuowa unapewa mke kwa kuhofia mtoto wa kike kuharibika hapo baadae kwa kisingizio bado kwanza. Hata mimi niko na mdogo wangu aliolewa nilishangaa kuambiwa harusi kumbe ameshakua maana ni miaka sijui mingapi nilikuwa sijaenda Pemba mpaka watu wameanza kuniona fb tu ndo wanavuta kumbu kumbu kwamba nipo hai.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi kuna makahaba huko?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hakuna tena kitu kama hicho. Kila mtu ana majukumu yake na kama ni kweli ni zamani ambapo ilikua wanaishi kwa kutegemeana,.. Ilikua mtu kama hana nyumba anakaa kwa kaka yake na familia yake yote huku wakisaidiana kummalizia nyumba yake palipobakia.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona kama mtetezi wa wapemba!je wewe n mpemba?jibu kama sio "kwa nn wewe si mpemba na jibu kama ndio "kwa nn wewe n mpemba?tuanzie hapo


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamani zao lililoshamiri sana ilikua...
Uwele, mpunga, mbaazi, kunde na mtama kwa wingi sasa hivi ni hafifu sana.. Wanalima mihogo lakini sio zao kuu..

Kwa ufupi Pemba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe (husda).. Ukianza kuneemeka kidogo inakubidi uwe mshirikina tofauti na hapo utaishia kufa huku unajiona.
Mi binafsi naenda likizo nakaa siku tatu mpaka nne nageuza maana hawachelewi kunilaza kitandani kweupeee.
Mpemba ambae hajafanya shiriki ni yule anaeishi nje ya Pemba. Mi binafsi nina mganga wangu maalum maana misuko suko ninayoipata naijua mwenyewe.. Na kila nikienda likizo lazima nikamsalimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Namba za mganga please!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom