Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Uchawi upo na utaendelea kuwepo tangia enzi za Nabii Mussa ulikuwepo... Sasa kwa upande wa kutumia vitabu kwa kumshirikisha Allah hapana. Kutumia vitabu vya Allah ili kupata dawa ndo njia sahihi kabisa... Lakini watu wengi tulipofeli ni pale kuendekeza mashetani/Majini. Na ushirikina unakuja pale ambapo shetani atataka afanyiwe kitu fulani na msipomfanyia atakavyo akadai familia yenu itapata tabu kwa maana yeye anajifanya amekuwa Mungu akifanyiwa atakalo hakuna shida atailinda familia wakati mlinzi ni mmoja tu. Na pia hakuna uhusiano wa dini na ushirikina.. Dini inakemea hilo. Na miti shamba ni kweli inahusishwa na ushirikina baadhi ya watu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nilidhani watumbatu pekee ndio washirikina kumbe wote?

Washirikina wengi wameshika dini ya kiislam kumbe?
 
kwa nini mnawatengeneza watoto wenu wasiwe na vichogo.
 
Back
Top Bottom