Aisee ni umri stahiki huo, anaitwa nani?
Hiyo ni ya kusikia mimi sijawahikuona..nasikia wapemba wanalinda malighafi ya mbele kuliko ya nyuma.
yupo tayar ule malighafi ya nyuma, ili ya mbele ibaki salama kwa ndoa.
Basi itakua walianzisha wao wenyewe na sihulka ya Pemba.Niliwaona Unguja kwenye vijiwe vya kahawa, yani ni full masihara
Utampa mdogo wako, lakini kwa sharti la kusilimu.Hata mimi nilimuona mkuu na pia nilimjibu. Ila kama anataka undani zaidi kwakweli aje hapa panamfaa nitampa hata mdogo wangu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Simpi maana itikadi yangu ni kwamba anasilim ili kufata mbunye tu.
Kwahiyo kama yupo serious na kuoa, upo tayari kumpa hata asiposilimuSimpi maana itikadi yangu ni kwamba anasilim ili kufata mbunye tu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakupata wapi chief?
HaahaaaaaAlafu kwanini Pemba utani wenu ni kufumuana marinda??
Yani unakuta hata mtoto anamtania babu mzima.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nina maana ya kwamba ukislim kwasababu ya mwanamke hapana.. Ila ukisilim kwa kujua ukweli hapo sawa. Kwamaana hiyo sasa.. Ukiwa dini ndo kabisaaa.Kwahiyo kama yupo serious na kuoa, upo tayari kumpa hata asiposilimu
Sent using Jamii Forums mobile app
JE UTANIONGEZEA MSHAHARA WANGU?Habari za majukumu wakuu..
Bila kusahau kwamba leo ni Ijumaa nawakumbusha ibada kwa wale wenzangu nami.
Rudi kwenye mada.. Kama inavojieleza hapo juu nawakaribisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Muarabu
Na mdogo wetu nampata wapi?
TIA sikweli hapo kwa maelezo yako.Kwanini bomba la maji mnaita "mfereji" na ukitaka kushuka kwenye daladala badala ya kumwambia konda "shusha" mnasema "tia"?
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukikosoa ni vizuri ukafafanua kwa faida ya wote.