Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Kwanini bomba la maji mnaita "mfereji" na ukitaka kushuka kwenye daladala badala ya kumwambia konda "shusha" mnasema "tia"?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tunaita mfereji kwasababu unapitisha maji ila sio kwamba ni kiswahili halisi hapana... Si unajua matamshi ya Zanzibar na bara nitofauti kidogo..

Kwa upande wa daladala hakuna neno hilo..
Eti badala ya kusema niache kituo fulani aseme nitie itakua lugha mpya hiyo.

Mbona kuna siku nipo zenj nimepanda kidaladala mara

Konda: Mchenzani?
Abiria: Tiaaa!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Je wapemba wanalima zao gani?
Zamani zao lililoshamiri sana ilikua...
Uwele, mpunga, mbaazi, kunde na mtama kwa wingi sasa hivi ni hafifu sana.. Wanalima mihogo lakini sio zao kuu..

Kwa ufupi Pemba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe (husda).. Ukianza kuneemeka kidogo inakubidi uwe mshirikina tofauti na hapo utaishia kufa huku unajiona.
Mi binafsi naenda likizo nakaa siku tatu mpaka nne nageuza maana hawachelewi kunilaza kitandani kweupeee.
Mpemba ambae hajafanya shiriki ni yule anaeishi nje ya Pemba. Mi binafsi nina mganga wangu maalum maana misuko suko ninayoipata naijua mwenyewe.. Na kila nikienda likizo lazima nikamsalimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mahari ukitaka kumuoa mpemba ni kiasi gani na ni vitu gani huwa wanahitaji kiujumla?

Sent using Jamii Forums mobile app
Inategemea na familia utakayoikwaa maana kuna zingine zina tamaa sana na pesa na zingine wanaangiliana ukoo uliptoka, nyingine wanaangalia chama chako hapa ndo palipoiharibu Pemba. Ila kwa ufupi ukikubalika unaweza kutoa laki tano ukaondoka na mke wako... Lakini sana sana wanataka fanicha za ndani kwa wale wasiotaka pesa za moja kwa moja na ukifatilia hivo vitu mkipiga thamani pengine ni laki 6 tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naskia wapemba wanapenda sana kula jicho. Hata wake zenu wasipoliwa jicho hawajiskii vizuri. Kwanini?

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Zamani zao lililoshamiri sana ilikua...
Uwele, mpunga, mbaazi, kunde na mtama kwa wingi sasa hivi ni hafifu sana.. Wanalima mihogo lakini sio zao kuu..

Kwa ufupi Pemba tunaumizana wenyewe kwa wenyewe (husda).. Ukianza kuneemeka kidogo inakubidi uwe mshirikina tofauti na hapo utaishia kufa huku unajiona.
Mi binafsi naenda likizo nakaa siku tatu mpaka nne nageuza maana hawachelewi kunilaza kitandani kweupeee.
Mpemba ambae hajafanya shiriki ni yule anaeishi nje ya Pemba. Mi binafsi nina mganga wangu maalum maana misuko suko ninayoipata naijua mwenyewe.. Na kila nikienda likizo lazima nikamsalimie.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwahiyo unakubaliana na kauli za raia wanaodai wapemba wengi ni washirikina?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ww umeanguakia kwa waarabu au wamakonde?,sababu nasikia makonde ndio wenye asili ya hicho kisiwa...

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa ufupi kisiwa cha Pemba asili yake wengi wakamba kutoka Kenya na bara kwa ujumla.. Mimi bibi yangu mzaa baba asili yake ni Kenya lakini mimi sijijui asili yangu. Mimi nataka tonge iende kinywani hayo mengine nawaachia Askari wa uhamiaji.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Labda hao wake zenu lakini sio wapemba.. Kwanza umeshakula jicho wapemba wangapi?

Sent using Jamii Forums mobile app
Naongelea wapemba mkuu kama mada inavyojieleza sio wake zetu. Na habari zinajulikana kua wapemba wanapenda kula jicho. Mimi binafsi nilikutana na mmoja nikipiga kwenye papuchi anailengesha makusudi kwenye jicho

Mtu Mzito HEAVY WEIGHT
 
Back
Top Bottom