Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Niulize swali lolote kuhusiana na wapemba na Pemba yenyewe..

Wapemba hujuana kwa vilemba,

Mnmaanisha nini?

Sent using Jamii Forums mobile app
Alipo mpemba hata kama ni Marekani watatafutana na uaminifu wao ndo unaofanya watafutane.
Wanasema hivo kwa kuwa sadaka wanaanza kwao ndo kwa jirani. Hawezi kukusaidia wewe mbongo kama kuna mpemba karibu mwenye shida kama yako maana karibia Pemba nzima wote ni ndugu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini inakua ngumu kuruhusu mwingiliano wa kindoa na mtu kutoka bara ama sivyo awe tajiri?

Mnabaguana wenyewe kwa wenyewe?

Unamchukuliaje asiye mpemba?

Umewahi ishi bara? Ulichukua muda gani kuzoea mazingira?

Unadhani ni Kwanini anal sex inadaiwa kushamiri huko pemba?
* Mkuu ni uongo uliotukuka hakuna kuchagua watu wakuwapa waume.. Kule mara nyingi wanaangalia tabia yako hata uwe mbongo. Kitu kitakachokufanya upate mke kwa urahisi zaidi Pemba uwe na mwenyeji akumalizie yeye na sio wewe. Wanajua wabongo wengi ni walevi, wauwaji na mambo mengi mabaya. Ukiwa na mwenyeji ndo anakumalizia yeye kwa kukusifia wewe sio wewe mwenyewe hawakuamini.

* Kubaguana wenyewe kwa wenyewe inategemea na koo, chanzo chao mpaka kufikia kwenye migogoro.

* Asiempemba namchukulia kama binadam wa kawaida sana kama walivo wapemba maana nimeishi nao vizuri hadi leo waliowengi ni marafiki zangu na nawakubali sana.

* Ndio niliwahi kuishi bara.. Na nilichukua mda mfupi sana kuwazowea ingawa nilikuwa napewa sumu kwamba wabongo sio watu... Niliwazowea sana maana nilijionea mwenyewe tofauti na nilivoambiwa.

* Hiyo ishu kushamiri kwakweli siwezijua maana hata mimi nakua najiuliza ni kwanini maana hata bongo wapo. Lakini imekua inajulikana Zanzibar kwa ujumla wake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
nasikia wapemba wanalinda malighafi ya mbele kuliko ya nyuma.
yupo tayar ule malighafi ya nyuma, ili ya mbele ibaki salama kwa ndoa.
 
Hahaha... Mkuu mimi sio shekh, inategemea na sehemu utakayobahatika sio kwamba hawataki. Ila wana itikadi ya kupeana wao kwa wao. Ukiona rangi nyeusi wameowana na mwarabu huyo kwakweli itakua wamenza mbali sana. Juhudi za kazi anapofanyia kazi kwa waarabu wanamchunguza tabia mpaka wanajiridhisha kumpa mtoto wao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ikitokea binti nikamtia mimba siwezi oa?
 
Back
Top Bottom