Renegade
JF-Expert Member
- Mar 18, 2009
- 7,221
- 6,940
Wewe ni mpemba? je mpemba wa wapi?Habari za majukumu wakuu..
Bila kusahau kwamba leo ni Ijumaa nawakumbusha ibada kwa wale wenzangu nami.
Rudi kwenye mada.. Kama inavojieleza hapo juu nawakaribisha sana.
Sent using Jamii Forums mobile app