youngkato
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 3,319
- 3,097
- Thread starter
- #261
Tusibishane sana kuhusu hapoNdugu yangu Avatar mok, kwa utofauti huo ni sawa na kusema kuna tofauti kati ya ugali mkubwa na ugali mdogo.(Kitu ambacho hakuna)..Kama mwamba (rock) ni mjumuiko wa madini tofauti, na stone ni vipande vya mwamba (vikiwa navyo na mjumuisho wa madini tofauti) utofauti wa mwamba (rock) na stone (jiwe) ni upi?
FYI.. Jiwe ni mwamba unaotumika katika ujenzi.... Chemical composition of a rock is 100% similar to that of a stone, utofauti unakuja katika matumizi..Na ndio maana unapokuwa field (Kama Geo) unachukua "rock samples" na sio "stone samples"
Its matter of size.
Kwa wataalam watakumbuka kuna kitu kinaitwa WENTWORTH GRAIN SIZE SCALE
inaonesha kila kitu