Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Sospeter Muhongo ama S.M kwa jina la kitaalamu ni matokeo ya uozaji wa mwamba geu(serikali ya ESCROW) na mwamba moto(serikali ya MKURUPUKO)kwa pamoja ukazaa mwamba tabaka(UWAZIRI)....
Aina ya miamba hii inapatikana kaskazini mwa nchi (MUSOMA)
Nimekujibu sijui?
Geological answer
 
Glassy texture u say.. glassy texture ina occur inform of particles?? Glassy particles vivid example si obsidian?
Hizi small particles sio micas (muscovite)
Nimemwambia inaweza kuwa ni inclusion ya minerals kama hizo mica etc

Soma vizuri maelezo
 
Naomba nielezee niweze kufahamu zaidi mkuu. Navojua kuna minerals zinazotokana na sedimentation kama calcite. Phosphate na zile za limestone.

Na nyingine kwenye process of crystallisation.

Na nyingine zinakuwa formed due to metamorphic reactions.
Blueschist
Zeolite
Pumpellyite
Prehnite
Greenschist-epidote, chlorite, actinolite
Omphacite(olivine)
N.k
 
Ahsante sana. Je, kwa Tanzania Chuo kizuri cha kusoma hayo majiolojia ni kipi?? Na ni zipi sifa za anayetaka kusoma Cheti?
Kuna vyuo vinne tu tanzania vinavyotoa mafunzo yanayohusiana na mambo ya jiolojia.

Kwa ngazi za cheti na diproma kimoja kipo shinyanga. Na kingine kipo dodoma. Kinaitwa MINERAL RESEARCH INSTITUTE.

KWA ngazi za degree ni

UDOM NA UDSM

Vigezo vya kujiunga angalia NACTE NA TCU
 
Nakuuliza katika Geology(for that matter nazungumzia Engineering Geology).
Katika elimu miamba pia kuna elimu udongo(Soil Mechanics)!
Sasa dwali jepesi, je aina za udongo gani zinaingia katika makundi matatu ya Miamba? Yaani Metarmophic Rock et al na aina tatu za udongo yaani Argilleciuos, Calcerous na Siliceous(spelling zingatia)
Kwa sababu miamba aina tatu muhimu huzalisha aina tatu za udongo. Humo ndani utakatana na Silica, Kaolinite, Irone Oxide, Calcium Ferroxide et al. Naomba uhusiano.

Hapo nimeuliza yale yanayohusiana Udongo na Geology. Sijataka kujikita na yale ya Soil Mechanics and Foundation Engineering

Ubarikiwe
Kuna tofauti gani kati ya geology na geotechnic!! Je ziko sawa??
 
naomba niongezee hapo mkuu....dodoma ipo kwnye tanzania craton lakini ni central tanzania craton ambayo iko less endowed na gold ukilinganisha na northern tz craton ambayo ni lake victoria goldfield (geita huko)....gold imeonekana dodoma kwenye greenstone belt ya mazoka-mafulungu..kama mkuu alivyosema pia ukanda wa mozambique pembeni kidogo ya dodoma kwenye mikoa kama tanga,moro
Hasante kwa mchango wako
 
Back
Top Bottom