Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Hapo nataka nikurekebishe kidogo basement ya Crust na upper mantle ni Metamorphic ambayo ndo mama Wa miamba. Magmatism ambayo huzaa intrusive au extrusive rocks inakuwa mainly originated from uppermantle ambayo ni iko metamorphosed
Asante, ila kuna hii kitu kuwa rocks nyingi zinazoundwa katika basement ya continental crust ni rhyolite au granite, prior metamorphic rock when metamorphised na magma inayokuwa intruded pale kwanini itoe rhyolite/granite!?
 
GenerallyContinental crust is made up of Granitic rocks and oceanic crust is made up of Basaltic rocks. But magma doesn't originate from Earth's crust na unaelewa factors of formation of magma kama huelewi google please
 
Mkuu Zoisite ni moja kati ya silicate minerals zilizo na uhusiano wa kitabia ya kifizikia na kikemikali na tanzanite, hata chemical formula zao zinaendana.

Sometimes tanzanite huitwa 'blue zoisite'
Upo deep mkuu.

Hasante kwa mchango wako
 
Glassy texture u say.. glassy texture ina occur inform of particles??
Glassy particles vivid example si obsidian?
Hizi small particles sio micas (muscovite)

Obvious itakua ni mineral quartz, micas ni sheet silicate labda angesema kama bati kama ni paricles au vipande vipande ni quartz
 
Inawezekana ila kama itakuwepo ni very deep sana af in very low concentration. Kwahiyo hata kuichimba itakuwa ni hasara.

Af gold deposits inapatikana kwa wingi katika ukanda wa Mozambique belt. Na dodoma ipo nje ya ukanda huu.

naomba niongezee hapo mkuu....dodoma ipo kwnye tanzania craton lakini ni central tanzania craton ambayo iko less endowed na gold ukilinganisha na northern tz craton ambayo ni lake victoria goldfield (geita huko)....gold imeonekana dodoma kwenye greenstone belt ya mazoka-mafulungu..kama mkuu alivyosema pia ukanda wa mozambique pembeni kidogo ya dodoma kwenye mikoa kama tanga,moro
 
Ahsante sana. Je, kwa Tanzania Chuo kizuri cha kusoma hayo majiolojia ni kipi?? Na ni zipi sifa za anayetaka kusoma Cheti?
Madini-dodoma
Sifa masomo ya science, hesabu physics na kemia japo uwe na pass
 
Ukishapima code nets za eneo unakwenda kucheki wizarani kama halina mtu, na kama hakuna aliyepewa license ya shughuri za utafiti eneo hilo kuna taratibu za kijiji kukujadili na kuandaa mukhtasari wa kijiji na utalipa malipo ya kijiji kisha ndio unakwenda kuliombea license eneo hilo wizarani baada ya kumaliza kuchukuwa code nets zake kwa GPS.

Nadhani nimekujibu hapo.
Ni coordinates mkuu
 
Not all minerals are formed by magmatic process
Naomba nielezee niweze kufahamu zaidi mkuu. Navojua kuna minerals zinazotokana na sedimentation kama calcite. Phosphate na zile za limestone.

Na nyingine kwenye process of crystallisation.

Na nyingine zinakuwa formed due to metamorphic reactions.
 
Asante, ila kuna hii kitu kuwa rocks nyingi zinazoundwa katika basement ya continental crust ni rhyolite au granite, prior metamorphic rock when metamorphised na magma inayokuwa intruded pale kwanini itoe rhyolite/granite!?
Kweli kabisa generally ndo uko hivyo but kuna exceptionals
 
Nakuuliza katika Geology(for that matter nazungumzia Engineering Geology).
Katika elimu miamba pia kuna elimu udongo(Soil Mechanics)!
Sasa dwali jepesi, je aina za udongo gani zinaingia katika makundi matatu ya Miamba? Yaani Metarmophic Rock et al na aina tatu za udongo yaani Argilleciuos, Calcerous na Siliceous(spelling zingatia)
Kwa sababu miamba aina tatu muhimu huzalisha aina tatu za udongo. Humo ndani utakatana na Silica, Kaolinite, Irone Oxide, Calcium Ferroxide et al. Naomba uhusiano.

Hapo nimeuliza yale yanayohusiana Udongo na Geology. Sijataka kujikita na yale ya Soil Mechanics and Foundation Engineering

Ubarikiwe
 
Back
Top Bottom