Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Kuna kampuni inafanya exploration maeneo ya Handeni inaitwa Canaco, sio mgodi thou still wapo kwenye exploration.

Migodi mingi ya gold ipo kunako Archean greenstone belt, ndipo kuna deposit kubwa ya gold so far kwa Tz.
Hua mwenye eneo analipwa.?
 
Inasemekana katikati ya dunia ..kati...Core kuna Moto mkali sana.
Sasa inakuwaje kina cha bahari maji ni bardi
Kweli kabisa unapokwenda chini zaidi Kwenye kiini cha dunia (earth's core) jotoardhi (geothermal) huongezeka... Kina kirefu zaidi cha bahari kinapatikana bara la Amerika kusini, kinaitwa "Mariana trench"..Ila kitu unachotakiwa kukumbuka ni kwamba kina kirefu cha bahari bado kipo Kwenye uso wa dunia na ni mbali sana kutoka Kwenye mantle au core..
 
Hivyo sio vioo ndugu. Ni very small fine particles. Zinazotokana na pale miamba iliyoyeyuka inaganda kwa haraka sana ndo inasababisha kutokea hali hiyo. ( inaitwa glassy texture ) vilevile hiyo inaweza kuwa ni inclusion ya monera mbalimbali ambazo zinaonekana kama vioo kutokana na bright colour.
Glassy texture u say.. glassy texture ina occur inform of particles?? Glassy particles vivid example si obsidian?
Hizi small particles sio micas (muscovite)
 
Ahsante sana. Je, kwa Tanzania Chuo kizuri cha kusoma hayo majiolojia ni kipi?? Na ni zipi sifa za anayetaka kusoma Cheti?
 
Bado hujajibu ipasavyo,Zoethite ni nini?
Zoesite.. group of minerals ambazo zipo in sorosilicate (epidote grup) zina range in colours from white, yellow, brown, green, blue to purple.. tanzanite ni zoisite ambayo ni blue-purple in colour
 
Hua mwenye eneo analipwa.?
Ukishapima code nets za eneo unakwenda kucheki wizarani kama halina mtu, na kama hakuna aliyepewa license ya shughuri za utafiti eneo hilo kuna taratibu za kijiji kukujadili na kuandaa mukhtasari wa kijiji na utalipa malipo ya kijiji kisha ndio unakwenda kuliombea license eneo hilo wizarani baada ya kumaliza kuchukuwa code nets zake kwa GPS.

Nadhani nimekujibu hapo.
 
Sospeter Muhongo ama S.M kwa jina la kitaalamu ni matokeo ya uozaji wa mwamba geu(serikali ya ESCROW) na mwamba moto(serikali ya MKURUPUKO)kwa pamoja ukazaa mwamba tabaka(UWAZIRI)....
Aina ya miamba hii inapatikana kaskazini mwa nchi (MUSOMA)
Nimekujibu sijui?
Acha masihara bana
 
Ndio its possible. Hii inatokana na solid solution. Inapokuwa inatokea temperature inabadirika but pressure inabaki constant. At the end zote zinakuwa stable at the same condition. Thats why you can observe such condition
mkuu uko deep indeed....
 
Back
Top Bottom