Tusibishane sana kuhusu hapoNdugu yangu Avatar mok, kwa utofauti huo ni sawa na kusema kuna tofauti kati ya ugali mkubwa na ugali mdogo.(Kitu ambacho hakuna)..Kama mwamba (rock) ni mjumuiko wa madini tofauti, na stone ni vipande vya mwamba (vikiwa navyo na mjumuisho wa madini tofauti) utofauti wa mwamba (rock) na stone (jiwe) ni upi?
FYI.. Jiwe ni mwamba unaotumika katika ujenzi.... Chemical composition of a rock is 100% similar to that of a stone, utofauti unakuja katika matumizi..Na ndio maana unapokuwa field (Kama Geo) unachukua "rock samples" na sio "stone samples"
[emoji115]Tusibishane sana kuhusu hapo
Its matter of size.
Kwa wataalam watakumbuka kuna kitu kinaitwa WENTWORTH GRAIN SIZE SCALE
inaonesha kila kitu
CHIMALA ndio mambo yote palMbona properties za minerals zinaeleweka sana.
Kwa waliopitia chimala wanaelewa sana haya mambo.
Mkuu hii post yako sijaielewa.Tarehe 3 August tunakutana Na wizara watu wote wenye maeneo ya makaa ya tumetumiwa email so humu kama mpo na hujapata taarifa nenda haraka wizarani
Mkuu hii post yako sijaielewa.
Fafanua vizuri.
Lazima awe anajua interpretation of geological features.naomba kujua ni vitu gani hasa vinaweza kumfanya geologist aweze kuwa heavy expert as mining & exploration geologist kwenye small scale mining?
Baadhi tu kwa uchache...!Na especially geological mapping.
Kama kuna wataalam watusaidie
Imekuja tofauti na nilivyoipanga..anyway nikikaa vizuri ntajaribu kuipangaLazima awe anajua interpretation of geological features.
Na aweze/aelewe kuhusu upatikanaji wa wa aina flani ya madini katika sehemu flani.
As long as hizo small scale hazina vifaa vya kisasa.
Kwahiyo theory na practical inahitajiaka
Baadhi tu kwa uchache...!
SUBJECT NAME USES
Mapping/GIS - Civil 3D (AutoCA) ---------geological maps, engineering drawing…
ArcView-----------------storing and manipulating data
3–D mapping- Stereo Mapper--------------Stereo view of aerial photos
GPS -GPS Pathfinder ---------------Processing you GPS survey
Geodimeter Terramodel ---------------processing your EDM survey
Stratigraphy Strater ---------------advanced plotting of downhole data Rock science Dip -----------------plotting orientation based data
strength analysis of rock and soil
RockSupport estimating support in circular tunnels Examine2D excavation analysis for mines Rockfall rockfall calculations Slide slope stability analysis Examine3D 3-D elastic analysis for excavations
Rocklab Hoek-Brown failure
Swedge stability of wedges in rockslopes
Phase 2-D plastic finite element programme
RockPlane stability of planar sliing blocks
Unwedge stability of wedges in underground excavations
Rockworks99 Same as Rockscience (inferior)
Colorado Rock Fall Simulation Rockfall simulation
Geoslope Same as Rockscience (inferior) various tools
Vulcan 3D mining software solution that can validate and transform raw mining data into dynamic 3D models
Always katika mambo yote. Business is the best option.sekta ya madini inategemea boom period kumaanisha kipindi cha upatikanaji mwingi wa madini au bei ya madini kupanda e.g gold,hapo tumeongelea kwenye swala la kuajiriwa..je kama geologist ni hatua gani utazichukua kufanana na fani yako pale unapokuwa kwenye off season (no booming) kujiajiri ili kujiongezea kipato
Mkuu kwa Tanzania kila uchwao exploration zinafanyika na kukuta ore reserves ni nyingi sana , za madini tofauti si dhahabu tu, na kama wewe upo kwenye sekta ya madini una uwanja mpana sana kudeal sehemu tofautitofauti.sekta ya madini inategemea boom period kumaanisha kipindi cha upatikanaji mwingi wa madini au bei ya madini kupanda e.g gold,hapo tumeongelea kwenye swala la kuajiriwa..je kama geologist ni hatua gani utazichukua kufanana na fani yako pale unapokuwa kwenye off season (no booming) kujiajiri ili kujiongezea kipato
shukrani mkuuMkuu kwa Tanzania kila uchwao exploration zinafanyika na kukuta ore reserves ni nyingi sana , za madini tofauti si dhahabu tu, na kama wewe upo kwenye sekta ya madini una uwanja mpana sana kudeal sehemu tofautitofauti.
Kwa sasa itakuwa ngumu kidogo maana unatumika mfumo wa CAS via NACTE, so kwa either DIPLOMA ama DEGREE ni lazima upite na masomo ya science kama si hivyo basi walau Mathematics , Geography ...etc ufaulu vizuri.nimesoma hgl je naweza isoma hii course chuo gan hapa Tanzania