Mkuu kama utaweza kuwasiliana nao.Huu UZI tungeomba kwa mode 4 au Reserved uwe sticky katika jukwaa hili.
Njia pekee ya kuifanya Tanzania ipige hatua katika maendeleo ni pamoja na vijana wanaotarajia kusoma masomo haya ya Jiolojia ya Madini na Mafuta kutambua kwamba sekta hii ni muhimu katika Taifa letu Kiuchumi hivyo kuwapa motisha vijana wengi wazawa waingie katika uwanja huu ili hapo baadae wafaidi rasilimali zao na si ma Expert toka nje ya nchi kuja kutafuna mapesa yanayotokana na sekta hii.
Kwakuongezea, hii tasnia imekua kame sana midomoni mwa jamii za kawaida..Huu UZI tungeomba kwa mode 4 au Reserved uwe sticky katika jukwaa hili.
Njia pekee ya kuifanya Tanzania ipige hatua katika maendeleo ni pamoja na vijana wanaotarajia kusoma masomo haya ya Jiolojia ya Madini na Mafuta kutambua kwamba sekta hii ni muhimu katika Taifa letu Kiuchumi hivyo kuwapa motisha vijana wengi wazawa waingie katika uwanja huu ili hapo baadae wafaidi rasilimali zao na si ma Expert toka nje ya nchi kuja kutafuna mapesa yanayotokana na sekta hii.
Nimewa mention moderators hapo nadhani watatufikiria kwa mapana zaidi.Mkuu kama utaweza kuwasiliana nao.
Wakafanyi hiyo kitu itakuwa ni vizuri.
Nafasi bado ni nyingi sana katika nchi hii ila wataalamu ni kidogo.
Kuna vijana wengi nilimaliza nao form four.Kuna mdau pale juu amesema mtu hawezi kusoma certificate ya geology, kwa chuo cha madini unaweza kusoma certificate mkuu, kwani kwenye form zao zimeainishwa NTA LEVELS ambapo kuna 4,5,6 unaweza kusoma hata 4 unakuwa na certificate, 5 unakuwa na Technician Certificate na 6 unakuwa na Diploma.....
Mkuu kuhusu software inategemea:Tuambizane na software nzuri zinazotumika katika fani yetu ya jiolojia, mf. ArciGIS, illuis, solidworks na za aina hiyo katika dunia ya sasa ya kiteknolijia..
Ndio nipo mkuu[emoji4] [emoji4] [emoji4]Kuna mjiolojia humu aliyewahi kwenda chimala mbeya kwa field work?
Clear ipo clear.. its transparent not shiny!!Mkuu embu tizama hiyo quartz katika avatar yangu jinsi ilivyo clean[emoji11] [emoji11]
Hii ni kwasababu hii..Why the Sky appear Blue???????
Inauwezo wa kureflect light... (silken sheen properties)Clear ipo clear.. its transparent not shiny!!
Kweli mkuuKuna mdau pale juu amesema mtu hawezi kusoma certificate ya geology, kwa chuo cha madini unaweza kusoma certificate mkuu, kwani kwenye form zao zimeainishwa NTA LEVELS ambapo kuna 4,5,6 unaweza kusoma hata 4 unakuwa na certificate, 5 unakuwa na Technician Certificate na 6 unakuwa na Diploma.....
Mkuu hii ni kwasababu ya kitu kinaitwa scattering of light.Why the Sky appear Blue???????
Punguza difficult terms mkuuHii ni kwasababu hii..
Atmosphere ina particle molecules za gas tofaut tofauti particle za dusts na kadharika, hivyo miale ya mwanga wa jua inapo approach surface ya dunia kuna kitendo kinafanyika pale ambacho kinaitwa collision, na hii hupelekea kugeuzwa geuzwa kwa hii miale ktk uelekeo tofauti as u know kwamba mwanga unasafiri katika njia ilio nyoofu.
Mwanga wajua ktk spectrum ya light (range of different frequency of ligh),
Blue light inayopatikana ktk visible region ya light spectrum, zinakuwa na long wavelength(yaani umbali wa cycle moja na nyingine) na ivo hii long wavelength ya blue light ikigongana na izo particle za gas na vumbi inakua tmrahisi kugeuzwa katka direction nyingine.,
Pia hii blue light ina frequency ndogo ivo inashindwa ku penetrate katika izo particle mwisho wa siku unaona sky yenye blue color..
This is the reason behind..
Pia unaweza uliza tena kwanini mida ya saa 11 hadu sa 12 ivi sky inaonekana kuwa red au reddish brown..
Au kwa nn bahari inakuwa ya blue...
Au kwanini satellites zinatoa picha zikionesha vegetation ni za kijani......
INTERESTING [emoji1] [emoji87]
Weka namba za simu mkuuNina vitalu vya kuchimba gypsum kilwa lakini sina mtaji wala masoko,kwa mwenye kuhitaji awekeze anitafute,ziko PML 7 na zote zinalipiwa.
Geotechnical sio geotechnicKuna tofauti gani kati ya geology na geotechnic!! Je ziko sawa??
Ndio hapo ukisikia jf kuna great thinkers utajua sio utani!Sospeter Muhongo ama S.M kwa jina la kitaalamu ni matokeo ya uozaji wa mwamba geu(serikali ya ESCROW) na mwamba moto(serikali ya MKURUPUKO)kwa pamoja ukazaa mwamba tabaka(UWAZIRI)....
Aina ya miamba hii inapatikana kaskazini mwa nchi (MUSOMA)
Nimekujibu sijui?