Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Niulize swali lolote kuhusu Geology na field zote zinazohusuhiana na Jiolojia

Huu UZI tungeomba kwa mode 4 au Reserved uwe sticky katika jukwaa hili.
Njia pekee ya kuifanya Tanzania ipige hatua katika maendeleo ni pamoja na vijana wanaotarajia kusoma masomo haya ya Jiolojia ya Madini na Mafuta kutambua kwamba sekta hii ni muhimu katika Taifa letu Kiuchumi hivyo kuwapa motisha vijana wengi wazawa waingie katika uwanja huu ili hapo baadae wafaidi rasilimali zao na si ma Expert toka nje ya nchi kuja kutafuna mapesa yanayotokana na sekta hii.
Mkuu kama utaweza kuwasiliana nao.

Wakafanyi hiyo kitu itakuwa ni vizuri.

Nafasi bado ni nyingi sana katika nchi hii ila wataalamu ni kidogo.
 
Huu UZI tungeomba kwa mode 4 au Reserved uwe sticky katika jukwaa hili.
Njia pekee ya kuifanya Tanzania ipige hatua katika maendeleo ni pamoja na vijana wanaotarajia kusoma masomo haya ya Jiolojia ya Madini na Mafuta kutambua kwamba sekta hii ni muhimu katika Taifa letu Kiuchumi hivyo kuwapa motisha vijana wengi wazawa waingie katika uwanja huu ili hapo baadae wafaidi rasilimali zao na si ma Expert toka nje ya nchi kuja kutafuna mapesa yanayotokana na sekta hii.
Kwakuongezea, hii tasnia imekua kame sana midomoni mwa jamii za kawaida..

Wengi hawaitambui sana ijapokua inamanufaa makubwa kama usemavyo katika ngazi ya maendeleo ya taifa, na vile ukitazama rasilimali zinazidu kuvumbuliwa kila siku iendayo kwa mungu.

Kama mods watalitekeleza hili angalau ata wale underground na upcoming au wasioifahamu hii field wanaweza kujifunza hapa, kukutana na watu walio nauzoefu ama iwe wa kifield au ata kitaaluma ya darasani.

Nimeona kuna geological society nyingi katika nchi za wenzetu ambazo ata kupitia hapa nasisi tungeweza kuunda au kuendeleza na kuzifanya active kwa zile zilizokuepo (kama zipo)

#mods tazameni hili kwa mapana
 
Kuna mdau pale juu amesema mtu hawezi kusoma certificate ya geology, kwa chuo cha madini unaweza kusoma certificate mkuu, kwani kwenye form zao zimeainishwa NTA LEVELS ambapo kuna 4,5,6 unaweza kusoma hata 4 unakuwa na certificate, 5 unakuwa na Technician Certificate na 6 unakuwa na Diploma.....
 
Kuna vijana wengi nilimaliza nao form four.

Walijiunga hivyo vyuo. Na wengine saiv wamefika degree.

Kila kitu kinawezekana kama mtu yupo interested na hizi field.
 
Kama ni kwenye mineral exploration na mining...Kwa explo Geo (MapInfo/ArcGIS plus Discover/Target) zinamtosha kufanya kazi zake kwa ufanisi kabisa.

Mine/Reosource Geo (Datamine/Surpac/Vulcan nk) zinatosha kufanya kazi zao kwa ufanisi.

Lakini ukiongezea Leapfrog unakuwa umepiga step zaidi (Both kwa explo and Mine/Resource Geos)
 
Why the Sky appear Blue???????
Hii ni kwasababu hii..

Atmosphere ina particle molecules za gas tofaut tofauti particle za dusts na kadharika, hivyo miale ya mwanga wa jua inapo approach surface ya dunia kuna kitendo kinafanyika pale ambacho kinaitwa collision(scattering), na hii hupelekea kugeuzwa geuzwa kwa hii miale ktk uelekeo tofauti as u know kwamba mwanga unasafiri katika njia ilio nyoofu.

Mwanga wajua ktk spectrum ya light (range of different frequency of ligh),

Blue light inayopatikana ktk visible region ya light spectrum, zinakuwa na short wavelength(yaani umbali wa cycle moja na nyingine) na ivo hii short wavelength ya blue light ikigongana na izo particle za gas na vumbi inakua rahisi kugeuzwa katka direction nyingine.,
Kwasababu particle zina size kubwa

Pia hii blue light ina frequency kubwa ivo inashindwa ku penetrate katika izo particle mwisho wa siku unaona sky yenye blue color..
This is the reason behind..

Pia unaweza uliza tena kwanini mida ya saa 11 hadu sa 12 ivi sky inaonekana kuwa red au reddish brown..

Au kwa nn bahari inakuwa ya blue...
Au kwanini satellites zinatoa picha zikionesha vegetation ni za kijani......

INTERESTING [emoji1] [emoji87]
 
Kuna mdau pale juu amesema mtu hawezi kusoma certificate ya geology, kwa chuo cha madini unaweza kusoma certificate mkuu, kwani kwenye form zao zimeainishwa NTA LEVELS ambapo kuna 4,5,6 unaweza kusoma hata 4 unakuwa na certificate, 5 unakuwa na Technician Certificate na 6 unakuwa na Diploma.....
Kweli mkuu
 
Why the Sky appear Blue???????
Mkuu hii ni kwasababu ya kitu kinaitwa scattering of light.

Na hii inatokea mchana pale light from the sun coming to the surface .

Kuna obstacle (vizuizi) zinasababisha scattering (kubadiri direction ya light waves) of shorter wavelength than longer wevelength

Hii inatokea katika upper atmosphere during the day. Kwasababu hizo shorter wavelength (zina rangi ya blue) katika visible spectrum zinakuwa scared than longer wavelength.

Ndo maana rangi ya bluu inaonekana mchana tu. Hasubuhi na jioni huwezi kuiona kwasababu wavelength zinakuwa tofauti.

NB. KWA WALIOSOMA REMOTE SENSING MNAWEZA KUNISAIDIA HAPO
 
Hii ni kwasababu hii..

Atmosphere ina particle molecules za gas tofaut tofauti particle za dusts na kadharika, hivyo miale ya mwanga wa jua inapo approach surface ya dunia kuna kitendo kinafanyika pale ambacho kinaitwa collision, na hii hupelekea kugeuzwa geuzwa kwa hii miale ktk uelekeo tofauti as u know kwamba mwanga unasafiri katika njia ilio nyoofu.

Mwanga wajua ktk spectrum ya light (range of different frequency of ligh),

Blue light inayopatikana ktk visible region ya light spectrum, zinakuwa na long wavelength(yaani umbali wa cycle moja na nyingine) na ivo hii long wavelength ya blue light ikigongana na izo particle za gas na vumbi inakua tmrahisi kugeuzwa katka direction nyingine.,
Pia hii blue light ina frequency ndogo ivo inashindwa ku penetrate katika izo particle mwisho wa siku unaona sky yenye blue color..
This is the reason behind..

Pia unaweza uliza tena kwanini mida ya saa 11 hadu sa 12 ivi sky inaonekana kuwa red au reddish brown..

Au kwa nn bahari inakuwa ya blue...
Au kwanini satellites zinatoa picha zikionesha vegetation ni za kijani......

INTERESTING [emoji1] [emoji87]
Punguza difficult terms mkuu
 
Sospeter Muhongo ama S.M kwa jina la kitaalamu ni matokeo ya uozaji wa mwamba geu(serikali ya ESCROW) na mwamba moto(serikali ya MKURUPUKO)kwa pamoja ukazaa mwamba tabaka(UWAZIRI)....
Aina ya miamba hii inapatikana kaskazini mwa nchi (MUSOMA)
Nimekujibu sijui?
Ndio hapo ukisikia jf kuna great thinkers utajua sio utani!
cc: youngkato
 
Back
Top Bottom