Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,921
Huu utani sasa,nimesoma hgl je naweza isoma hii course chuo gan hapa Tanzania
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu utani sasa,nimesoma hgl je naweza isoma hii course chuo gan hapa Tanzania
Hakuna certificate ya Geology, au Exploration and Mining Geology mkuu.Kwa level ya certificate kwa kutumia cheti cha form four inawezekana
This a mining method or technique which involve driving openings to divide the coal seam into rectangular or square blocks or pillarsNaomba kujua definition of pillar in mining methods [emoji101]
inasemekana eti chini ya ardhi kuna mwamba mgumu ambao chini yake kuna bahari, hii ipoje mkuu?
2. Je ni majani gani yakiota ktk ardi huashiria eneo hlo kuna maji karibu,(unaweza chimba kisima)?
Hasante kwa kuchanganua.Hakuna certificate ya Geology, au Exploration and Mining Geology mkuu.
It means hiyo certificate ni lazima upite humu NTAL 4, NTAL 5, then NTAL 6 ambayo kwa pamoja huitwa Diploma.
Huwezi ukasoma NTAL 4 pekee na ukapewa certificate.
Uhakika ni upi sasa?Hao wanaosema hivyo wazushi tu kwa sababu hawana uhakika.
Labda iwe hivi, Ardini kuna mwamba kitaalam unaitwa aquifer huu mwamba kunasehemu ambayo unauwezo wa kupitisha maji labda kwa mf. yanayotokana na mvua, pili unauwezo wakushikilia maji hayo (underground water).inasemekana eti chini ya ardhi kuna mwamba mgumu ambao chini yake kuna bahari, hii ipoje mkuu? 2. Je ni majani gani yakiota ktk ardi huashiria eneo hlo kuna maji karibu,(unaweza chimba kisima)?
Wataalam watapita mkuu[emoji6]from Rock Mechanics knowledge, naomba unielekeze jinsi ya kusoma ratings za dip and strike of discontinuity orientations katika Rock Mass Rating (RMR)Table ya Bieniawski.......especially kweye part ya Tunnels
So sad msomi huwezi ku translate hii lugha yamzungu bhanaaNingejibu kwa kiswahili ila bahati mbaya elimu niliyoipata sijafundishwa kwa kiswahili
Sedimentary rocks are formed through the gradual accumulation of
sediments.
for example, sand on a beach or mud on a river bed. As the sediments are buried they get compacted as more and more material is deposited on top.
Eventually the sediments will become so dense that they would essentially form a rock . This process is known as lithification .
Igneous rocks are rocks which have crystallized from a melt or
magma.
The melt is made up of various components of pre-existing rocks which have been subjected to melting either at subduction zones or within the Earth 's mantle. The melt is hot and so passes upward through cooler country rock .
As it moves it cools and various rock types
will form through a process known as fractional crystallization .
Igneous rocks can be seen at mid ocean ridges, areas of island arc volcanism or
in intra-plate hotspots .
Metamorphic rocks are rocks which once existed as igneous or
sedimentary rocks but have been subjected to varying degrees of
pressure and heat within the Earth's crust.
The processes involved will
change the composition and fabric of the rock and their original nature is often hard to distinguish. Metamorphic rocks are typically found in areas of mountain building .
View attachment 371090
Mkuu embu tizama hiyo quartz katika avatar yangu jinsi ilivyo clean[emoji11] [emoji11]Qtz huwa haingaii so haiwezi kua appear kama kioo
Acha mbwembe..Nikujibu kwa kiswahili au in english?
Wataalam watapita mkuu[emoji6]
Tunakaribisha mchango wako mkuu
Nimefurahi kuuona huu uzi mageo wenzangu
from Rock Mechanics knowledge, naomba unielekeze jinsi ya kusoma ratings za dip and strike of discontinuity orientations katika Rock Mass Rating (RMR)Table ya Bieniawski.......especially kweye part ya Tunnels