Niulize swali lolote kuhusu KUNENA KWA LUGHA nikufafanulie.

Niulize swali lolote kuhusu KUNENA KWA LUGHA nikufafanulie.

Sasa unataka nijibu nini?
Unataka nikutajie majina ya mitume na manabii wanaonena kwa Roho wa Mungu na wanaonena kwa hisia zao?
Nimejibu pale juu kutoa mwanga kuwa si kila kunena kwa lugha ni lugha za Kimungu.
Na jukumu la kujua huyu mtu wa Mungu au si wa Mungu ni la kwako wewe sio mimi
Ulipaswa useme huo uhusiano ukoje??
Je ndio lugha ya mungu kama ilivyo uislam na kiarab (quran)
Je mnenaji anaelewana yeye na mungu tuu??
 
Sasa unataka nijibu nini?
Unataka nikutajie majina ya mitume na manabii wanaonena kwa Roho wa Mungu na wanaonena kwa hisia zao?
Nimejibu pale juu kutoa mwanga kuwa si kila kunena kwa lugha ni lugha za Kimungu.
Na jukumu la kujua huyu mtu wa Mungu au si wa Mungu ni la kwako wewe sio mimi
Nabii gani au mtume wa Tanzania ambaye ni wa kweli unayemtambua?
 
Hiyo ni lugha ya roho mtakatifu, wanaelewa nae wanaoongea hiyo lugha.
Uongo mbona wao wenyewe wanaoongea hawaelewi nini wanaongea. Akiambiwa arudie alichokiongea ataweza? Hiyo sio lugha bana ni makelele
 
Nabii gani au mtume wa Tanzania ambaye ni wa kweli unayemtambua?
Tunapima roho kwa kutumia njia 2.
1.Kwa kumuuliza Mungu na Mungu kwa njia ya ROHO MTAKATIFU hutoa majibu
2. Kwa kupima uwiano wa neno na maisha au huduma ya mtu.
Kama una vitu hivyo viwili utawatambua tu.
Manabii wengi hapa Tanzania na kwingineko si wa kweli kwa kipimo cha neno.
Mfano
Nabii yeyote anayetoza pesa ili awatabirie au kuwawekea watu mikono huyo hajatumwa na MUNGU.
Yesu alisema mumepewa bure toeni bure
Sasa mtu akikutoza hata mia Tano kama gharama ya kumuona, kununua kifaa cha kiroho au kuonana naye huyo si nabii wa kweli.
Screenshot_20240205-073951.jpg


Pia kipimo kingine ni matokeo ya unabii wao.
Mtu akisema jambo na lisitimie huyo hakutumwa na Mungu.
Screenshot_20240401-104119.jpg

Njia ya tatu ni kutazama maisha ya huyo mtumishi anapokuwa nje ya kanisa.
Mtu ana kesi za kutia mimba wake za watu, kesi za kitapeli waumini.
Mtu ana ghorofa lakini hawezi kuishi hata na mtoto wa dada yake amsomeshe.
Mtu ana private jet, account ina bilioni 3 lakini anamwambia muumini alete elfu 10 ambariki apate mtaji au kazi badala ya kutoa yeye huo mtaji.
Matendo kama hayo ni ishara huyo nabii , mchungaji, Mtume, Mwinjilisti au mwalimu hana Mungu.
Screenshot_20240401-104934.jpg
 
Hello
Shalom!
Kila siku kwa kadri ya neema ya MUNGU nitaleta mada moja muhimu ili kumjenga mkristo.
Tujengwe imara ili tusiyumbishwe na mbwa mwitu.
Kristo alisema atakaa ndani yetu nasi tutakaa ndani yake.
Asitokee mtu yeyote akawageuza Wakristo wenzake kama chanzo cha mapato yake.
Watu wajue kuwa MUNGU anakaa ndani yao .
View attachment 2950461View attachment 2950462
Kutokana na somo langu la kwanza la maombi katika Roho kumekuwa na maswali mengi juu ya kunena kwa lugha.
Mwenye swali aweke hapa Mimi pamoja na viongozi wengine wabobezi humu ndani tutawajibu.
Kinachodaiwa kuwa ni kunena kwa lugha huwa ni upuuzi mtupu,

Imani ni shambulio la akili.
 
Back
Top Bottom