Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

Niulize swali lolote kuhusu uchumi au biashara

Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Nini faida ambayo wanaipata nchi kama Kenya ambao fedha yao inathamani kuliko ya Tanzania lakini most of the products price Zina range mule mule. Mfano utakuta labda bei ya soda in Kenyan shillings ni sawa sawa na bei ya soda in TZ shilling?
 
Mkuu hebu toka kwenye kitabu uingie kwenye uhalisia, mimi nimekuuliza kuhusu Tanzania, inapaswa uelezee kwa mifano halisi na kuhitimisha kama tupo salama au la? hujato mfan wowote wa mradi/miradi iliopo, hujatoa mifano ya mikopo tunayoichukua kwa ajili miundombinu...

Halafu huko juu unasema tukuulize swali lolote la uchumi sasa hii maana yake nini? naona umetoa definition tu za mikopo yenye tija na isiyo na tija.. ungechambua kwa undani kwa mifano ipi ina tija naipi haina tija na ukatoa mani binfsi kama mtaalamu...
Mkuu samahani ila ningependa tu una shauku wa kujibiwa jibu la ufasaha au shauku ya kupima uwezo wa mtoa mada?
Mbona majibu aliyokujibu yamenyooka vizuri tu kiasi cha kwamba hata mtu asieelewa uchumi anaelewa
 
Kuna watu huwa hatuelewi vizuri uhusiano kati ya thamani ya fedha ya nchi dhidi ya US$ na uchumi wa nchi husika. Hebu tuekezee, nchi A yenye fedha yake kuwa na thamani kuliko nchi B, is it neccessarily kwamba A ina uchumi mzuri kuliko B?
Hapa nahitaji kujifunza pia akikujibu nitag 🙏
 
Kama ni mtaalamu wa Kodi nikupe scenario kuhusu VAT,

kampuni ina agiza (nunua nje ya nchi IMPORTS) bidhaa ambazo zinakuwa VAT CHARGED,

IKIFIKA CUSTOMS WATATOZA KODI ZA AINA NGAPI ?

PILI, KAMPUNI HIYO HIYO NI VAT REGISTERED, HIVYO NIKIWA NDANI YA NCHI KUNA HUDUMA NAPATA NAKULIPIA VAT,

TATU, NAOMBA UNIFANYIE SIMPLE ANALYSIS NA CALCULATIONS ILI NIWEZE KUJUA NA NAMNA YA KUPATA VAT PAYABLE KATI YA VAT YA MAUZO NA VAT YA MANUNUZI,

THANKS.
 
Mkuu samahani ila ningependa tu una shauku wa kujibiwa jibu la ufasaha au shauku ya kupima uwezo wa mtoa mada?
Mbona majibu aliyokujibu yamenyooka vizuri tu kiasi cha kwamba hata mtu asieelewa uchumi anaelewa
Hajajibu swali inavyopaswa, mimi nilihitaji jibu sio kumpima, angejibu kwa kutoa mifano halisi , angerejea mikopo mbali mbali na figures zake japo si yote kama kutoka taasisi za kifedha za kimataifa kama world bank na IMF, mikopo kutoka kwenye nchi za kigeni kama China n.k anaelezea ilifanya mradi huu na ule na manufaa yake ni yapi, sasa mwana uchumi hata data huna, unajiita mwana uchumi hata hujui nchi yako ina mikopo ipi na ipi..., akimaliza hapo aelezee kitaalamu miradi iliyowezeshwa kwa mikopo kama SGR, bwawa la Nyerere n.k....,nani haelewi mikopo isiyo na tija na yenye tija?

Hajajibu kitaalamu kama mwanauchumi mbobevu... kwa jinsi alivyosema swali lolote nikajua yupo deep kumbe kawaida sana...
 
Hii inathibisha lengo lako lilikuwa kupima
 
Kwa nini watu mlio soma uchumi ni masikini ? Kwa nini mchumi hawezi tumia hizo elimu kuwa tajiri ? Naomba usiseme visingiziio ongea fact kwa nini hamna hela za kutisha kulinganisha na elimu yenyewe ? Usije ukaniambia kuwa uchumi hauhusiani na utajiri, huo uongo siutaki.
 
Back
Top Bottom