USITHUBUTU KUOA
Senior Member
- Dec 23, 2021
- 136
- 352
Nini faida ambayo wanaipata nchi kama Kenya ambao fedha yao inathamani kuliko ya Tanzania lakini most of the products price Zina range mule mule. Mfano utakuta labda bei ya soda in Kenyan shillings ni sawa sawa na bei ya soda in TZ shilling?Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Nifanye nini nianzishe hedge fund Tanzania?Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Acha ujinga si umetak maswali mwenyew ujaweka rulesNimechoka kujibu, watu wananiuliza maswali ya commerce form two!
Upuuzi.
Sasa unafikiri kila mmoja ana uelewa ambao wewe unao, wewe umesema wadau waulize swali lolote kuhusu uchumi na biashara... kumbe hamna kitu..Nimechoka kujibu, watu wananiuliza maswali ya commerce form two!
Upuuzi.
Ningependa kufahamu vitu vinavyopelekea thamani ya Shillingi ya Tanzania kushuka thamani na je kifanyike kipi kuipandisha thamani walau kufikia Shillingi ya Kenya?Uliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Mkuu samahani ila ningependa tu una shauku wa kujibiwa jibu la ufasaha au shauku ya kupima uwezo wa mtoa mada?Mkuu hebu toka kwenye kitabu uingie kwenye uhalisia, mimi nimekuuliza kuhusu Tanzania, inapaswa uelezee kwa mifano halisi na kuhitimisha kama tupo salama au la? hujato mfan wowote wa mradi/miradi iliopo, hujatoa mifano ya mikopo tunayoichukua kwa ajili miundombinu...
Halafu huko juu unasema tukuulize swali lolote la uchumi sasa hii maana yake nini? naona umetoa definition tu za mikopo yenye tija na isiyo na tija.. ungechambua kwa undani kwa mifano ipi ina tija naipi haina tija na ukatoa mani binfsi kama mtaalamu...
Hapa nahitaji kujifunza pia akikujibu nitag 🙏Kuna watu huwa hatuelewi vizuri uhusiano kati ya thamani ya fedha ya nchi dhidi ya US$ na uchumi wa nchi husika. Hebu tuekezee, nchi A yenye fedha yake kuwa na thamani kuliko nchi B, is it neccessarily kwamba A ina uchumi mzuri kuliko B?
Yakwetu yamuhimu yapo mkuu unaweza kujibu pia , JF ina wachangiaji wa haiba tofauti tofauti na wewe kama Jf expert najua unaelewa so be Tolerant sirNimechoka kujibu, watu wananiuliza maswali ya commerce form two!
Upuuzi.
Hajajibu swali inavyopaswa, mimi nilihitaji jibu sio kumpima, angejibu kwa kutoa mifano halisi , angerejea mikopo mbali mbali na figures zake japo si yote kama kutoka taasisi za kifedha za kimataifa kama world bank na IMF, mikopo kutoka kwenye nchi za kigeni kama China n.k anaelezea ilifanya mradi huu na ule na manufaa yake ni yapi, sasa mwana uchumi hata data huna, unajiita mwana uchumi hata hujui nchi yako ina mikopo ipi na ipi..., akimaliza hapo aelezee kitaalamu miradi iliyowezeshwa kwa mikopo kama SGR, bwawa la Nyerere n.k....,nani haelewi mikopo isiyo na tija na yenye tija?Mkuu samahani ila ningependa tu una shauku wa kujibiwa jibu la ufasaha au shauku ya kupima uwezo wa mtoa mada?
Mbona majibu aliyokujibu yamenyooka vizuri tu kiasi cha kwamba hata mtu asieelewa uchumi anaelewa
Hii inathibisha lengo lako lilikuwa kupimaHajajibu swali inavyopaswa, mimi nilihitaji jibu sio kumpima, angejibu kwa kutoa mifano halisi , angerejea mikopo mbali mbali na figures zake japo si yote kama kutoka taasisi za kifedha za kimataifa kama world bank na IMF, mikopo kutoka kwenye nchi za kigeni kama China n.k anaelezea ilifanya mradi huu na ule na manufaa yake ni yapi, sasa mwana uchumi hata data huna, unajiita mwana uchumi hata hujui nchi yako ina mikopo ipi na ipi..., akimaliza hapo aelezee kitaalamu miradi iliyowezeshwa kwa mikopo kama SGR, bwawa la Nyerere n.k....,nani haelewi mikopo isiyo na tija na yenye tija?
Hajajibu kitaalamu kama mwanauchumi mbobevu... kwa jinsi alivyosema swali lolote nikajua yupo deep kumbe kawaida sana...
This is old time idea thoughNifanye nini nianzishe hedge fund Tanzania?
Wewe ni mbabaishaji tu.. huna lolote.. karudi shule ..Hii inathibisha lengo lako lilikuwa kupima
Sawa.Wewe ni mbabaishaji tu.. huna loloe.. karudi shule ..
stock price zinacalculatiwa vp mathematicallyUliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!
Biashara gani nzuri ya kutoa vitu china ukiacha hizi zilizoeleka kama simu nkUliza swali lolote la Uchumi au biashara, nikujibu kitaalam. That's what I like the most!