Namba moja jibu huko pm bana!1. Sensitive
2. Nimeoa
3. Watoto wawili
Najivunia kuzaliwa mwanaume, nasio kwamba nawadharau enyi wadada ila ni kutokana na mapito niliyopitia hadi sasa nimeweza kusimama imara na thabit kwa uwezo wa Muumba, hadi nimeweza kuwa na familia yangu.Unajivunia nini mpaka sasa kwa umri ulionao
Mungu azidi kukuonekania kakaNajivunia kuzaliwa mwanaume, nasio kwamba nawadharau enyi wadada ila ni kutokana na mapito niliyopitia hadi sasa nimeweza kusimama imara na thabit kwa uwezo wa Muumba, hadi nimeweza kuwa na familia yangu.
Usijali kakanguNitafute, maana mi sikupati
Wakati wenzetu walipoanzisha sera za kijamaa ilikuwa ni kwa faida ya wote, kibaya zaidi sisi huku kwetu tuliichukulia ile sera kama mtazamo wa nje na badala yake hatukuichukulia kwa makini. Vile vile uongozi ukiwa mbovu na unaopenda kuangalia upande wake maisha yote maendeleo yatakuwa duni, ukiangalia wenzetu ni waaminifu na wanapoaminiwa wanajiaminisha kiasi kwamba wanaangalia maslahi ya taifa kwanza kabla ya maslahi ya mmoja mmoja, kitu ambacho ni kinyume kwa huku kwetu kwani kila anaekuwa na mamlaka fulani huangalia kwanza maslahi yake na mstakbali wa maisha yake baada ya kuondoka kwenye hayo mamlaka. Tukiwa wakweli na waaminifu pamoja na kutekeleza ahadi tunazoahidi basi tutafika. Cha kuisaidia nchi yangu kama msomi ni kuwa kila mmoja ajiaminishe kwa mamlaka aliyonayo kwa ajili ya kulinda maslahi mapana ya taifa badala ya maslahi ya binafsi. Bado hatujachelewa naamini tukiwa hivyo tutafikia maendeleo, mfano mzuri UAE haikuwa na kitu lakini ni zaidi ya kila nchi kwasasa, kwa maana wana viongozi wanaojiamini na wamejiaminisha kwa wananchi wao kiasi kwamba licha ya kuwa ni matajiri lakini bado wanawatumikia wananchi wao badala ya kuwaminya wananchi wao ili kuendelea kujilimbikizia mali.Tanganyika, Korea zote na Maleysia 1960 wakati zote zinapata uhuru tulikuwa sawa kimaendeleo, lakini leo miaka 60 baadaye wenzetu wamepiga hatua na wakati mwingine tunawaomba misaada kwao . Je sisi hasa WaTanganyika tumekwama wapi ?! Nawe kama msomi utaisaidia Je Tanganyika kujikwamua ?!.
Kipindi nilipobaleghe nilikuwa sipitwi na vibinti vya watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]Kwa nini ukajiita beberu
MmmhKipindi nilipobaleghe nilikuwa sipitwi na vibinti vya watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Kipindi nilipobaleghe nilikuwa sipitwi na vibinti vya watu [emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2445][emoji2445][emoji2445][emoji377][emoji377][emoji377]
Ndio JPM ni mtu sahihi kwa serikali ya Jamhuri ya Muungamo wa Tanzania. Kwa vile alipigiwa kura na kushinda uchaguzi. Isitoshe Mungu humpa mtu kulingana na hitajio lake kwa maana kipindi cha Rais Jakaya Kikwete, watu walikuwa wakisema kuwa ni mtu wa kucheka cheka na hadi wengine kuomba Mungu awajaalie wapate Rais mkali ambae sio wa kucheka cheka kama Jakaya. Kwa mantiki hiyo Mungu amelipokea ombi lao na ndio tuko nae sasa hivi rais mkali. Hivyo inatufunza kuwa tusiwe wepesi wa kujudge tusivyovijua na hata kama watu walitarajia kupata maendeleo basi wanapaswa kuwa watulivu kwa maana maendeleo sio sawa na vitendo vinavyofanyika ndotoni (kama tutalala na kuamka ikiwa tayari tumeshaendelea), maendeleo hupatikana kwa mikakati ya muda mefu kidogo.Ndio hivyo tuwe wavumilivu tukubali kuumia sisi kwa faida ya vizazi vyetu na uzeeni kwetu. [emoji120][emoji120][emoji120]Unadhani JPM ni mtu sahihi kwa serikali ya jamuhuri ya muungano wa tanzania?
Kama ni ndio kwanini, na kama sio kwanini?
Beberu Mwitu