Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndugu yangu, hakuna kipindi kibaya kwa binaadamu yoyote wakike au wakiume kama kipindi cha baleghe, kwa maana mtoto wa kike katika kipindi hicho ndipo atakapojiona kuwa yeye ni mwanamke kamili na mtoto wa kiume ndipo atakapojiona kuwa ni mwanaume kamili. Kwa maana katika ukuaji ile ni hatua mbaya na ni swala la kumshukuru Mungu kwa kutuvua salama na mabalaa ya kipindi hicho. Maana ndio kipindi ambacho kitamharibu mtu au kitamfanya kuwa mwema.Mmmh
Umeona uulize hapo kwa tag yanguMwana JF yupi wakike na kiume wanaukuvutia zaidi?
Kwa nini?
Umeona uulize hapo kwa tag yangu
Sawa kakangu wa faida!Ndugu yangu, hakuna kipindi kibaya kwa binaadamu yoyote wakike au wakiume kama kipindi cha baleghe, kwa maana mtoto wa kike katika kipindi hicho ndipo atakapojiona kuwa yeye ni mwanamke kamili na mtoto wa kiume ndipo atakapojiona kuwa ni mwanaume kamili. Kwa maana katika ukuaji ile ni hatua mbaya na ni swala la kumshukuru Mungu kwa kutuvua salama na mabalaa ya kipindi hicho. Maana ndio kipindi ambacho kitamharibu mtu au kitamfanya kuwa mwema.
Hilo swali ni sensitive[emoji41][emoji41]Tulia.... Tutajua mbivu na mbichi, hii ndio nafasi adhimu[emoji849].
Hilo swali ni sensitive[emoji41][emoji41]
Swali lako ni dogo lakini majibu yake ni mengi. Hapa napenda niwe muwazi zaidi kulingana na mitizamo tofauti niliyonayo. Wanajf wengi wananivutia kutokana na stori pamoja na mawazo, michango yao kulingana na mada mbali mbali zinazojadiliwa, bahati nzuri kila mmoja anaupeo mzuri wa kuchambua mambo kulingana na mtizamo wake, hivyo naweza kusema wanajf wote wananivutia kulingana na michango, mitazamo yao kulingana na mada husika zinazojadiliwa.Mwana JF yupi wakike na kiume wanaukuvutia zaidi?
Kwa nini?
Swali lako ni dogo lakini majibu yake ni mengi. Hapa napenda niwe muwazi zaidi kulingana na mitizamo tofauti niliyonayo. Wanajf wengi wananivutia kutokana na stori pamoja na mawazo, michango yao kulingana na mada mbali mbali zinazojadiliwa, bahati nzuri kila mmoja anaupeo mzuri wa kuchambua mambo kulingana na mtizamo wake, hivyo naweza kusema wanajf wote wananivutia kulingana na michango, mitazamo yao kulingana na mada husika zinazojadiliwa.
Hahaha hahaha hahaha hahaha[emoji3][emoji3] Mbona unamjibia? Tulia unaweza kuwa ww zali limekuangukia.
Mimi mepita salamaBaleghe ni kitu mbaya sana na bahati nzuri hakuna yeyote anaeingia kwenye utu uzima bila kupitia baleghe.
Kudanganya ni kweli nishawahi. Kuna kipindi niliwahi kuwadanganya wanawake ambao nilikuwa nao kwa wakati mmoja na kila mmoja kipindi nipo nae nilimwambia kuwa yeye ni wa pekee kwangu na nikiondoka kwake nikienda kwa mwingine nae namwambia hivyo hivyo. Ila kwasasa nimeshakuwa mtu mzima. Nishaacha mambo hayo.Ushawahi kudanganya ili kukamilisha misheni flani?
Unaweza kutusimulia kidogo?
Ndio, ila nilijutia kitendo kile hasa nilipokuja kujua kufanya hivyo ni kosa na kwa mujibu wa Dini ya Kiislam.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimekubali kishingo upande. Me naamini kuna mtu tu ukikuta hata comment yake unajihisi kuenjoy.... Lkn tuache.