Sijawahi na wala sintokuja kufanya hivyo kwa maana kwa mujibu wa Uislam mtu akifanya hivyo,
1. Allah hamtomtizama mtu huyo kwa jicho la rehma.
2. Mafikio yake siku ya hukmu ni Jahannam. Ila kama atatubia na kutoendelea kufanya kitendo hicho.
Liwati imekharamishwa.
[/QUOTE
Mkuu jibu lilikua ndio au hapana hukuambiwa utoe maelezo, unataka kukatisha tamaa wenye nia hiyo. Samahani lakini
Hayo ndio mafanikio nyumba na kazi sio mafanikio hata siku mojaNdio
Ndio, porn sio lazima ziwe za binadamu inatokezea sometimes kuku zinafanya mbele yangu [emoji38][emoji38][emoji38][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji377][emoji377][emoji377][emoji2445][emoji2445][emoji2445]Bado unaangaliaga porn
Duuuuuh poleeeehSwali lako nimechelewa kuliona! Yaani leo hii nfio nimeliona!