Niulize swali lolote nitakujibu

aseee! mkuu ajipange upya kwa maswali haya
 
Asee wewe noma naomba unitag ili tupate majibu yake
 
Asee wewe noma!! naomba unitag ili tupate majibu yake
 
Kwanini watu 1/ 4 ni vchaa? Ref: Twaweza res.
 
nikivipi sauti inaisha kwenye space/nafasi..?
je inawezekanaje kuibadilisha sauti kuwa umeme..?
nikivipi atom zinajiunda kuform hivi vitu chuma,plastic,nyama na mchanga..?
 
Nimepitia comments nasuburi. Majibu ili kicheko kikamilike...
Maana, unaweza vunja mbavu zako kwa manene haya
 
Wewe jamaa kama sio kiboko ni mamba.
Akikujibu hayo maswali niite
 
Khaa so mchezo
 
Kwa nini CHADEMA kimesheni ukabila{ uchagalisms} na Ukanda/Ukazikazini?
 
Jana usiku kuna mtu nilimfananisha, nijibu nilimfananisha na nani

Roma alitekwa na nani?

Kwa nini mirungi hapa hairuhusiwi lakini Kenya ni ruksa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…