chuganian
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 1,067
- 1,109
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliegundua kijiko cha chakula alipatwa na nini kabla?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Aliegundua kijiko cha chakula alipatwa na nini kabla?
aseee! mkuu ajipange upya kwa maswali hayaNataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?
Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?
Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.
Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?
Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?
Chakula kinakula nini?
Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?
Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?
Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?
Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).
Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?
Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji119] [emoji119] watu wana vitukounaweza kuhesabu moja mpaka millioni moja???
Asee wewe noma!! naomba unitag ili tupate majibu yakeNataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?
Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?
Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.
Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?
Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?
Chakula kinakula nini?
Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?
Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?
Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?
Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).
Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?
Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
Wewe jamaa kama sio kiboko ni mamba.Nataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?
Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?
Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.
Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?
Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?
Chakula kinakula nini?
Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?
Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?
Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?
Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).
Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?
Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
Khaa so mchezoNataka kufahamu kama watu wote duniani tutaambiwa tunywe maji yote hadi yaishe kila mtu atatakiwa kunywa lita ngapi?
Na vipi hadi sasa Dunia ina lita ngapi za maji chini na juu ya Ardhi?
Unadhani ni nini kinamfanya mtoto kunyonya maziwa ya mama yake ile hali hajui lolotr kuhusu kula?.
Aliyebuni Namba alijuaje kama Mwanzo wa namba ni 0 hadi 9 na kuna makosa kama tukigeuza 9 kuwa 3?
Mara nyingi nikiwa Safari huwa napenda kusikiliza wimbo wa Bamboo kademu ka Mzinga ni kwanini?
Chakula kinakula nini?
Ukifa ukakuta mshikaji wako hayupo msibani utachukua maamuzi gani?
Aliyejua kuwa wali unafaa kuliwa na Maharage ni nani na alitumia muda gani kukamilisha utafiti wake?
Kule Marekani kuna Rafiki yangu mmoja anaitwa Hatezan Finnte kwanini alikuwa Mmarekani ile hali hakutaka aishe huko Marekani?
Simu yangu ina Mpasuko kwenye kioo ni nani aliipasua maana kila mtu anasema sio yeye(bora leo utanipa majibu).
Nimelipa kodi ya Nyumba mwezi huu ila mwenye Nyumba kasema sijalipa na risti ninazo unahisi kwanini ?
Kwanini Binadamu hawezi kusahau kuvuta hewa hata ukiwa busy namna gani.?
PAMPUCHI ni nini mkuu?Kwanini Pumpuchi na dushe huvuruga akili za watu ?