Niulize swali lolote nitakujibu

Maswali juu ya nn kuhusu nini siasa... Uchumi... Mapenzi... Elimu... Intelligence....
Au yotetuu ?
Au nyie ndo akina hamorapa?
Lolote ambalo linakusumbua kama mmoja hana suali na akae kimya,naamanisha lenye kutaka ufumbuzi
 
Kwanini binadamu wengi kila siku tuko busy kutafuta utajiri na wakati tutakufa
Kwa sababu wengi kati yetu tunasahau kama kuna kufa kwa sababu bado pumzi zinapiga halafu ndio kawaida ya mwanadamu ni pupa
 
Kwa nini nikiangalia angani naona rangi ya blue?
Kwa nini maji ya bahari yanaonekana pia ni ya blue ukiwa mbali?
Ni kitu gani kinasababisha ule upinde wa mvua na zile rangi kwa nini ziko saba?
Kwa nini maji ya bahar yanakuwa ya chumvi lakini ya kwenye mabwawa yanakuwa ya baridi?
Wamarekani wametuma kifaa kwenda pluto kukusanya taarifa ya hiyo sayari, mpaka sasa kimefikia hatua gani na ni taarifa nyingi kiasi gani zimeshafika?
Wamewezaje kutengeneza ile international space station na inawezekana vipi kuelea kwenye orbit bila kuanguka?
 
Kwanini wakristo hawapendi hijab wakati picha ya Mariam imevaa, na kwanini wakristo hawapendi kanzu wakati mapadre wanavaa ni hayo tu
 

Kuhusu rangi ya mbingu ni maumbile na hizo ni dalili za kuwepo mungu na kuhusu vipi space inaelea ni kwasababu ya ozone layer, ni layer special ya anga ambayo ipo baina ya sayari
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…