Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
We unavituko mara ulisema ulimaliza mawenzi primary school moshi mwaka 1997, mara umezaliwa mwaka 1997 ukiwa muongo huwezi kuwa na kumbukumbuKiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.
Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku
Asante [emoji120]
Kumbe wewe ni sawa na mtoto wangu. Naye kazaliwa 1997Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.
Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku
Asante [emoji120]
MEWewe ni jinsia gani
HapanaJe wewe ni upinde kama zisemavyo duru za kitaifa?
Ndio (ndugu)Kuna mzazi au ndugu yako amewahi kua mwalimu?
Nishazaliwa mwanaume hakuna jinsiUanauke bado unautaka?
Nenda sokoniNikitaka kisamvu cha kopo nitakipata?
Ingia kwenye profile yanguWe unavituko mara ulisema ulimaliza mawenzi primary school moshi mwaka 1997, mara umezaliwa mwaka 1997 ukiwa muongo huwezi kuwa na kumbukumbu
1997Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.