Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #21
Sikusoma ualimuUmemaliza ualimu mwaka gani? Kwa huo mwaka umezaliwa utakua umemaliza 2020
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sikusoma ualimuUmemaliza ualimu mwaka gani? Kwa huo mwaka umezaliwa utakua umemaliza 2020
Sijawahi kupimaUshawahi kupima matatizo ya akili na majibu yalikuwaje?
NimebambikiwaUalimu ni taaluma yako au umebambikiwa[emoji39]
Nivulie mimi1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just kwa in case
Ndio ni sawa na mtoto wakoKumbe wewe ni sawa na mtoto wangu. Naye kazaliwa 1997
Nenda kapime broSijawahi kupima
Story ni ndefu, nikija kuitoa wote mtanipa pole, anyway ipo siku nitaweka wazi [emoji120]Kwa nini unachuki sana na walimu wenzio??
Uvuwe ili nifanyeje1997
Yaani wewe pichu siwez kukuvulia just in case
Hawana kosa kwa nchi yetu, section ya 154 ya penal code inatoa adhabu Kwa wanaofanya mapenzi against nature, against nature inamuhusu mwanamke tuu kuingiliwa nyuma hilo ndo kosa. Kwa shoga our law is silentUpi mtazamo wako kuhusu Upinde
SawaNenda kapime bro
Ni kweli nilikwenda mkuu, nilikatisha kutokana na dhihaka za waburudikajiKwann ulikatisha ile story yako ya safar ya lindi na kina kidagaa
Ni kweli ulikwenda huko au ulijitungia
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pombe natumia mpaka sasa ila sio bangi au madawa ya kulevyaUshawahi kutumia bangi, pombe au madawa ya kulevya?
Sisambazi vilainishi, nafanya kazi kwenye NGO pia nimejiajiriKumbe wewe ni litoto lidogo hvyo,imekuwaje walimu unawachukia ukiwa kwenye umri mdogo hvyo?
Hzo safar zako za mwanza,burundi,rwanda,tabora huwa unatafuta nn au ndo unasambaza vilainishi