Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Ndiyo maana majuzi nikitazama comment yako kwenye mada yako, nikasema wewe si shaka ni mtoto! Kumbe kweli
 
Kabla hujaanza kufanya mapenzi na wasichana/wanawake huwa Kuna stori nyingi kutoka kwa wanaojiita wazoefu.

1.Je, wewe baada ya kufanya kwa Mara ya kwanza ulijisikiaje?

2.Ulishawahi kupiga punyeto?
Mara ya kwanza nilijuta Kwa nn nimeharibu uume wangu kabla ya kuoa, sijawahi kupiga punyeto mpaka sasa
 
Back
Top Bottom