Unique Flower
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 12,838
- 25,282
Sio tajiri ila yeye sio maskini yupo kati ya utajiri na utajiri so najimuduJe ni kweli kuwa wewe ni tajiri?
[emoji1787]Hata sijamwelewa, sasa anivulie chupi ili nivae mimi au niishone?
UmtieHata sijamwelewa, sasa anivulie chupi ili nivae mimi au niishone?
Hapana Nina maisha ya kawaida tu..Je ni kweli kuwa wewe ni tajiri?
Niwewaambia mm sio Tajiri, Nina maisha ya kawaida tu kipato changu Kwa mwez hakizidi million mbilimpwayungu village jibu maswali ya watu
[emoji15][emoji15][emoji15][emoji15]Umtie
Hapana, naandika mwenyeweUnaandikiwa na NICK?
Je! Ukiiweka hiyo story itaisha?Story ni ndefu, nikija kuitoa wote mtanipa pole, anyway ipo siku nitaweka wazi [emoji120]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ulishawahi shiriki mapenzi ya jinsia Moja?
mkuu wewe ni mwalimu wa arts??Ushawahi kutumia bangi, pombe au madawa ya kulevya?
Majibu yote atakayo toa msimbeze jaman, ni haki yake kujieleza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]