Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

factor ya umri ni moja factors kubwa zinazoelezea kwa nin mtu fulani, amewaza alicho waza, amefikiri alivo fikiri, ametenda alichotenda au ameongea alichoongea. For a normal person, muturation inakwenda direct proportional na age yake. Kana flow?
Hivi kwa mfano asingetaja umri wake hapa unadhani ungejua ana umri huo? Wengi kupitia Huu uzi wanaoneshwa kushangazwa hawakudhi mtoa mada atakuwa na umri huo hii ni kwasababu michango yake Mingui anayotoa humu ni ya maana so mkuu kuwa na umri mkubwa haimanishi kuwa itakuwa na upeo mkubwa au ukiwq kijana mdogo eti utakuwa na upeo mdogo so usimjudge mtu kulingana na umri wake judge hoja zake je zinafaa
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Una elimu gani
Umesoma chuo gani
Unafanya kazi gani
Kwenu wewe pekee ndiye wa kiume, kwanini utamani kuwa kama dada zako
Kwanini unaichukia kazi ya ualimu.

Nasubiri ujibu haya kwanza
 
Mpwayungu ni kijiji, bora wafundishe watu wa fan zingine ila sio mwalimu. Bora biology afundishe daktari, kiswahili wafundishe bakita,.. Nk
Wewe una matatizo, Daktari akifundisha hospital atakuwepo Nani?
Hoja Yako juu ya ualimu haisadii chochote maana Hata ushauri unaotoa ni chenga
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Dah! Wakati unazaliwa, mimi nilikuwa form 3!! Humu jukwaani kumbe kuna wakati huwa tunabishana na vitoto vidogo sana.
 
Back
Top Bottom