Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Akili za huyo ndugu, ukijumlisha na hiyo NGO anayofanyia kazi, inaleta ukakasi! Juzi alianzisha uzi kua anatamani kua mwanamke, kua wanaume tunapitia shuruba kali kuliko wanawake[emoji1787][emoji1787]


[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mziki kama huo, alafu unaambiwa ela kesho, au boss hapatikani kwenye simu[emoji1787][emoji1787] yeye anaona mateso, ni bora awe anajiremba na kutafuta mabwana wa kuwachuna tu

Sasa kuna mtu hapoView attachment 2573802View attachment 2573804
Anataka kamsererko
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]

Vipi hao dada zako wameshaolewa?
 
We unavituko mara ulisema ulimaliza mawenzi primary school moshi mwaka 1997, mara umezaliwa mwaka 1997 ukiwa muongo huwezi kuwa na kumbukumbu
Wsnasema ukitaka kusema uongo, kumbuka neno la kwanza
 
Kama kuna changamoto katika maisha na tunazikabili basi jua hata JF ni sehemu ya dunia lete tena tumfurahie Kidagaa "imeisha hiyo![emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom