Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Mkuu unahimili vip hisia zako unapo waponda walimu , pale wanaporudisha mapigo kama kukuita shoga ? 2. Wakati unaandika ule uzi wako wakutaman kupata fursa wazopata wanawake , je hukufahamu walimu watautafsiri kivingne na kutumia kama silaha ya kukumaliza? 3 na unakabiliana vipi na hilo?
Mkuu weka vizuri hiyo reply yako,tunataka mpwayungu village ayajibu vizuri
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Kumbe kijana mdogo hivi...
 
Ulimaliza shule ya msingi mwaka gani?
 
Aahahaha
Atutajie hiyo NGO Ili tuende wizara ya mambo ya ndani tukaulizie details zake
Akili za huyo ndugu, ukijumlisha na hiyo NGO anayofanyia kazi, inaleta ukakasi! Juzi alianzisha uzi kua anatamani kua mwanamke, kua wanaume tunapitia shuruba kali kuliko wanawake[emoji1787][emoji1787]

[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
Mziki kama huo, alafu unaambiwa ela kesho, au boss hapatikani kwenye simu[emoji1787][emoji1787] yeye anaona mateso, ni bora awe anajiremba na kutafuta mabwana wa kuwachuna tu

Sasa kuna mtu hapo
JamiiForums-549248811.jpg
JamiiForums-306101099.jpg
 
Ndio ni sawa na mtoto wako
Mkuu

Kumbe bado mdogo!

Bado una nafasi ya kufaanikiwa

Punguza kuponda kazi za watu coz unajichora!

Wapo wengi waliofanikiwa KWA kazi hizo hizo ynqzoponda!

Mafanikio sio aina ya kazi bali inategemea jinsi unavofikiria na kujipanga!!

Bado unakua!

Usiwe na haraka ya kufanikiwa coz ukifanikiwa mapema sana mali zitakutesa Sana na utaanguka haraka hasa KWA nchi zetu za Dunia ya tatu!

Mwandiko wangu nadhani unaujua!
 
Back
Top Bottom