Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Ulianza lini kupata hisia za ushoga?
 
Nimejiajiri kwenye kilimo cha mpunga, nafanya kazi kwenye shirika la wakimbizi UNHCR

Napenda kusoma vitabu nikiwa nimepumzika

Napenda kula ugali na mlenda nikiwa local village ila kama maeneo ya mjini ni ngumu kupata mlenda wa dodoma nakula ugali samaki
 
Ndoto yangu nikuwa mfanyabiashara mkubwa wa mazao angalau niwe nalima hekali zaidi ya elfu tano za mpunga, niwe nanunua mpunga hata gunia laki moja zilizokobolewa
 
Nataka nijifunze kilimo cha kisasa kama wenzetu wazungu wanavyofanya, Napenda siku niende India nijifunze mbinu wanazotumia kuzalisha mpunga
 
Ulifikiria nn kutamani kua mwanamke??
Udhani fikira hii inaashiria undani wako kuna homoni nyingi za kike ambazo zinaweza kukupelekea ushoga??
Wanawake sio mashoga, hisia za mwanamke na hisia za shoga ni tofauti. Niliwaza bora ningezaliwa mwanamke (sio nijibadili jinsia) ili nipate fursa kama wanazopewa wanawake tofauti na ngono
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…