Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #481
Sipo tayari, nilitamani KUZALIWA mwanamke elewa maana ya kuzaliwa (sio kubadili jinsia)..Mkuu mpwayungu village; kwakuwa unatamani ungezaliwa jinsia ya kike, na kwakuwa hilo tamanio lako bado linawaka kwenye mtima wako, je, upo tayari ku undertake trans gender?