Reuben Challe
JF-Expert Member
- Dec 10, 2021
- 2,940
- 5,511
Ndugu Mchochezi ebu naomba unitag huu uzi ambapo mpwayungu village anakili kuwa yeye ni mwalimu huu uliouposti hapo juu
Kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi ya kusoma UDSM main kampasi?
Mimi nimhitimu wa chuo cha ualimu x ngazi ya kati yaani diploma nimepata GPA ya 3.6 SWALI: Je, kwa ufaulu huu naweza kupata nafasi yakusoma shahada i.e. Bachelor chuo kikuu UDSM main kampasi? Wenye uzoefu tafadhali ili kama main campus kuna compitition nisitupe 10000 yangu niaply Teofilo Kisanji.