Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Anafikiri miye napenda uongo kama yeye

Nimeanza Makurumla mwka 1995,shule ikiitwa Makurumla

Mwaka 1999 baada ya Baba wa Taifa kufariki ndipo Kwa heshima yake shule ikabadilishwa ikaitwa Mwalimu Nyerere

Kama Bado anabisha nimuunganishe na Mwalimu wangu wa Darasa la Nne na Tano wa Kiswahili mwalimu Lugano na yule sayansi mwalimu Prosper waweke rekodi sawa

Mwalimu Lugano yupo Mburahati na kwake na kupeleka
Baada ya kuhama kutoka Makurumla akahamia Mburahati Primary school. Makurumla haijaanzishwa mwaka huo anaosema. Moja ya shule kongwe hasa kimichezo kwa kuwa ilikuwa Ina uwanja mkubwa uliotumika kimichezo ktk wilaya ya Kinondoni.
 
Sahihi

Mashindano ya Kinesi yamefanyika sana pale shuleni
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Wewe ni mwalimu?
JamiiForums471477416.jpg
 
Back
Top Bottom