Mpwayungu Village
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 14,540
- 30,875
- Thread starter
- #121
Mkuu wapo watu wana degree nne tofauti, anyway pita kwenye uzi wangu wa lindi Kuna sehemu nikiattach kila kitu au ngoja wazoefu waje atatoa ushuhudaUnataka kusema ulihitimu udom ndio ukaenda udsm na ulishahitimu law?
Hebu tueleze udom ulihitimu mwaka Gani na udsm..!!
Pia Kwa kuwa umesema upo tayari kufichua identification basi eleza shughuli zako za sasa na ulipo, then weka na picha kabisa...ikibidi ututajie na majina Yako yote!