Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

Niulizeni swali lolote lile kuhusu mimi, leo nipo tayari hata kufichua identification

N
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Ndugu Mpwayungu,real Id Tasafali😂
 
Weee dogo aseeeee mie juzi nilitinga dodoma kwenye interview , kumbe ningepita huko mpwayungu village
Uhuuhuhuhu! Karibu sana kiongozi utatukuta msimu wa mavuno nakaribia nipo porini mda huu najiandaa usiku wa saa Sita nikaline asali Kuna nyuki wapo pango moja ivi
 
Nina swali kadhaa kuhusu wewe, ninaomba ujibu lolote linalohusiana na wewe:

1. Unafanya kazi au unaendelea na masomo?
2. Una ndoto gani kubwa katika maisha yako?
3. Unapenda kufanya nini wakati wa kupumzika?
4. Unapenda chakula gani sana?
5. Unayo nia gani ya kujifunza au kufanya katika siku zijazo?

-------------------

Source: ChatGPT
 
Kuna tetesi zinasema kuwa wanakukoboa! Unakobolewa! Na kulingana na tabia zako humu, sina shaka kabisa juu ya hili bikaka!
 
Kiufupi nilizaliwa kijiji cha mpwayungu Kata ya mpwayungu tarafa ya mpwayungu iliyoko wilaya ya chamwino mkoani dodoma mwaka 1997. Tupo watatu ktk Familia yetu wawili wasichana na mimi ni mtoto WA kiume pekee ktk familia yetu.

Kijiji cha mpwayungu kimepakana na vijiji kadhaa Kwa upande wa mashariki kimepakana na kalenga, upande wa magharibi kimepakana na huzi, upande wa kaskazini kimepakana na kijiji cha Nagulo na upande wa kusini kimepakana na Nghambaku

Asante [emoji120]
Why are you gay?
 
Back
Top Bottom