Niuzie Azam decoder used

Niuzie Azam decoder used

MKONGORO

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2014
Posts
343
Reaction score
304
Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
 
Unayo laki moja na thelathini mkononi
 
Kwanini usiende kununua kipya boss? Kimahesabu ukinunua utalipia subscription.. Ukinunua kipya utapewa miezi mitatu ya 35,000 per. Kwakuwa watanzania wengi tunanunua cha 20k assume unapata 60k+140k=200k. Tofauti inakuwa 10k ila hapa unapata kipya na kinachosajiliwa kwa jina lako na namba zako.
 
Asante mkuu nashukuru kwa ushauri naomba nipate mamba ya muuzaji niwasiliane nae akanifungie kipya Mimi nipo safarini nje ya Dar natarajia kurufi mwezi wa 2 nivizuri familia iendelee kufutahia tv
 
Wakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni
Ipo dekoda mpya(haijatumika kabisa) kwa 130,000 bila dish. Nakaribisha maelewano

Instagram: @nova_satellite_dealers
Simu: 0764 453848
 
Back
Top Bottom