Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante mkuu nashukuru kwa ushauri naomba nipate mamba ya muuzaji niwasiliane nae akanifungie kipya Mimi nipo safarini nje ya Dar natarajia kurufi mwezi wa 2 nivizuri familia iendelee kufutahia tvKwanini usiende kununua kipya boss? Kimahesabu ukinunua utalipia subscription.. Ukinunua kipya utapewa miezi mitatu ya 35,000 per. Kwakuwa watanzania wengi tunanunua cha 20k assume unapata 60k+140k=200k. Tofauti inakuwa 10k ila hapa unapata kipya na kinachosajiliwa kwa jina lako na namba zako.
Ipo dekoda mpya(haijatumika kabisa) kwa 130,000 bila dish. Nakaribisha maelewanoWakuu habarini za majukumu! Ninaomba yeyote anaeuza decoder ya Azam aniuzie whats app 0683965391 Asanteni