Brelim Skoro_
JF-Expert Member
- Mar 29, 2014
- 15,188
- 37,742
Una heka heka kama Mtu mwenye jinsia mbili.Wewe Kaza ass!
Una heka heka kama Mtu mwenye jinsia mbili.Wewe Kaza ass!
You don't have to knowKuwa serious kwa maana ya kuingia na kushare ulichonacho, enjoy then endelea na mambo yako.
Attention tafuta eneo lako la kazi, nyumbani kwako, mtaani na hata kwenye nyumba za ibada.
Au mwenzetu unatafuta attention humu ili upate nini?
😅😅😅I love them eyes and lips..
Plus booobs
Mwanaume lazima ujue vitu vizuri 😅We jamaa kama ni kuchagua basi uko vizuri...
Unacheza mle mle kabisa
Kumbe na Matti unayo ?Essentially kila mtu ana jinsia mbili ndo maana na wewe una tu matiti. Unajua kazi yake?
😂Kumbe na Matti unayo ?
Haya waeleze majaji kuwa una matiti.
Si tulisema no more drama au, why vayolensi mkuu?
HIvi hii ni ID nyingine ya ShesRise_1?Si tulisema no more drama au, why vayolensi mkuu?
sasa tutafikia kwenye malengo kweli?, kwan last time tulikubaliana nini kijana mdogo au ndo tusikupangie😅😅😅
Leo nimeamka vibaya tu rafikisasa tutafikia kwenye malengo kweli?, kwan last time tulikubaliana nini kijana mdogo au ndo tusikupangie😅😅😅
ila sio mbaya unatakiwa upate watu wanao furahia utani na utoto wako, humu wote wako matured unaonekana kama...... au basi, enjoy mwaya😊