Nivumilieni wana JF leo nimeamka vibaya, nilikuwa natafuta attention tu 😊

Kuwa serious kwa maana ya kuingia na kushare ulichonacho, enjoy then endelea na mambo yako.

Attention tafuta eneo lako la kazi, nyumbani kwako, mtaani na hata kwenye nyumba za ibada.

Au mwenzetu unatafuta attention humu ili upate nini?
You don't have to know
 
Usisahau kuwa tag kabisa binti kiziwi ephen_ Lamomy win-one na wengine...
sasa tutafikia kwenye malengo kweli?, kwan last time tulikubaliana nini kijana mdogo au ndo tusikupangie😅😅😅

ila sio mbaya unatakiwa upate watu wanao furahia utani na utoto wako, humu wote wako matured unaonekana kama...... au basi, enjoy mwaya😊
 
Leo nimeamka vibaya tu rafiki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…