Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

Hao watoto wana miaka mingapi? Kwa nini usiwachukue uwapeleke kwa bibi yao? ( mama yako)
 
Nim
Nimeishia kusoma Hadi kati ila wewe ni MPUMB.AVU na ni MSHAMBA
...........Soma nyuzi zote za jamaa Natafuta Ajira .....hapo utajifunza zaidi ya SoMo la wazazi
 
Nim

Nimeishia kusoma Hadi kati ila wewe ni MPUMB.AVU na ni MSHAMBA
...........Soma nyuzi zote za jamaa Natafuta Ajira .....hapo utajifunza zaidi ya SoMo la wazazi
Naona povu tu linakutoka kwan na wewe ni mnyaturu? Au ndio umekuja humu na hii ID ili kunishambulia?
 
Huwa nawaambia wanaume makamo fulani kuwa fainali uzeeni. Unavuna ulichopanda kwa watoto wako wakiwa bado wadogo. Wakishakuwa hauna nafasi hiyo tena, hujui mama yao amewalea vipi ukiwa haupo kwenye picha. Baadae uzeeni malalamiko yanakuwa mengi
Napita tu 🏃‍♀️
 
Jana tu ndio nimetoka kuwaona wananilalamikia kuwa mama yao anawaambia awapeleke Singida lakini hawataki
Nikawaambia waende baada ya muda naenda kuwachukua wakakubali kinyonge sana.
 
Jana tu ndio nimetoka kuwaona wananilalamikia kuwa mama yao anawaambia awapeleke Singida lakini hawataki
Nikawaambia waende baada ya muda naenda kuwachukua wakakubali kinyonge sana.
Hakikisha wanajua baba yupo, anatujali na kutuhudumia. Baadae wakiwa wakubwa kidogo na huru zaidi lazima watakutafuta wakiona ni kweli unawajali.

Malaika hao wakienda singida huenda wataambiwa (si kwa maana ya kuambiwa, lakini kusikia kwenye mazungumzo ya watu wazima) baba yao ni mtu wa ovyo aliyewakimbia. Maana wanaona mama yao anavyohangaika kila kukicha na baba anakuja kwa kuchungulia.

Inasikitisha lkn wanawake akili zetu saa nyingine tunazijua, sana sana akiwa na maumivu moyoni. Matokeo hautaona sasa hivi, miaka baadae
 
Kwa point hii utasababisha kesho nikampore watoto tena yaani mbona ni balaa hili?
 
Kwa point hii utasababisha kesho nikampore watoto tena yaani mbona ni balaa hili?
Mtafute yule mubaba mshenga anaweza namna ya busara kukushauri, anakufahamu ana amewafahamu wale pia kwa kiasi fulani.

Kila la heri! Angalia tu namna ya kuwa karibu na watoto hata kama watabaki na mama yao, wajue kabisa baba yetu yupo
 
Siku nyingine mahali unayotaniwa sio halisi kivile halisi ni ile uliyotunza mwenyew au sio babu
 
Siku nyingine mahali unayotaniwa sio halisi kivile halisi ni ile uliyotunza mwenyew au sio babu
Yap wew piga bahasha mezan baada ya kuwa umetanguliza bahasha za wajumbe hakikisha bahasha zilizotangulia zinaenda kama laki tatu hivi
Maana wazazi wakigoma kupokea mahari wanawapa wajumbe kile kiasi cha pesa ulichokuwa umeshawapa hapo ndipo panakuwaga pagumu sana
Wanajikuta wanaafiki tu haina namna
Maana kama kweli binti kakuelewa iweje wao waweke kikwazo kwa maslahi yao?
Wakati bado binti anaweza asikae na wewe hata miaka mitatu?
Familia nyingi ni scammers hutumia mabinti zao ambao ni wazuri ili kuvuna mahari kwa wanaume.
 
Chukua watoto wako piga chini hao ndugu na mama yao. Watoto usiwapeleke kwa bibi yao(mama yako) komaa nao kwa bibi uwe unaenda nao kusalimia. Mkuu hili ni gumu ila ni fundisho zuri kwa watoto wako na hutafanya makosa tena katika kuwatafutia watoto mama bora.
 
Kwa sasa mimi siwezi kuishi nao maana ni traveller simu ikiita nachukua mission ndio maana nikaamua nimkabidhi yeye awalee popote atakapokuwa nitafika hata baada ya miezi miwili kutegemea na mission itakapoisha hata ikichukua miezi mitano bado nitaweza kufika kuwaona..
 
Basi wapeleke kwa bibi yao. Hiyo familia hujui watakupaka tope gani kwa watoto.
 
Muhimu umlee mtoto wako. Unaweza kuta mtoto analelewa ovyo mwisho linatoka toto ya ajabu under your name
Hii nayo point ya msingi sana eti
Shida ni kibunda kwa sasa kingekuwepo angeletwa nunny wa kukaa nao na kuwahudumia hapo life ingekaa fiti sana
Ndio maana nataka niwakache kwa mwaka na nusu niwaandalie mazingira wasiteseke.
Maana mama yao nilimwambia asiwahamishe hapa Mwanza akae nao ili iwe rahisi mimi kuwahudumia
Naona life la Mwanza limemshinda anawaza arudi kwao sasa sijui kule ndio anaona life litakuwa jepesi?
Yaani wanawake wetu hawa sielewi wanafanya maamuzi kwa kutumia vijambio?
Nipo namwangalia tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…