Niwajibu nini Ukweni? Yaani jibu ambalo litatosha na liwe la haki hata kama litawakera ila liwe la haki.

No bhana lamo sio wifi yako kwangu, bali ni rafiki yangu tu ๐Ÿ˜ข
Weeh nawe huyo ananiita wifi kwa kibaka mmoja hivi wala sio wewe usitafute kiki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kwanza ulivyopoa km mkojo wa ngedere UTANIWEZA?!! ๐Ÿคฃ Em kakojoe ulale
 
Weeh nawe huyo ananiita wifi kwa kibaka mmoja hivi wala sio wewe usitafute kiki ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Kwanza ulivyopoa km mkojo wa ngedere UTANIWEZA?!! ๐Ÿคฃ Em kakojoe ulale
Sawa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ