Niwajue wenzangu SUMBAWANGA.

Mwenyeji wa jangwani pia, mitaa ya karibu la Gorofa summry mtaa wa fisi ndio nyumbani.
 
Wakati nakua 90's Sumbawanga lilikuwa tusi...Mfano ukiambiwa wewe unatokea sumbawanga nini? Ina maana wewe ni mchawi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…