Niwakumbushe wanaume wakati mkiwa bize na nyie kuwapambania wanawake itakapo fika zamu yenu kupambaniwa hawato wasaidia kamwe

kichongeochuma

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2024
Posts
1,669
Reaction score
2,864
Kuna wanaume nawashangaa sana unakuta baba zima limesimamisha kitambi na ndeke zake lina wasemea wanawake utadhani na lenyewe limama, mara ooh! Kuwe na 50 kwa 50 mara ooh! haki sawa, halafu ukilitizama ni jibaba zima kabisa lenye mwili na sijui kuhusu akili

Niwaambie tu ukweli hapa baada ya kuwapambania hao wanawake na wakafika wanapo pataka na wakashika hatamu basi kibao kitageuka na kitageuka haswaa na hapo ndipo mtakapo ziona rangi halisi kabisa za hawa viumbe na ndipo mtakapo jua kwanini mungu aliwapa majukumu yao na wanaume wakapewa majukumu yao

Endeleeni kulazimisha usiku uwe mchana.
 
Tena lazima tuchukue hatu haraka
 
Huu mwezi wanawake sijui mmemzingua nini, maana hizi mada hadi #KataaNdoa tumebaki midomo wazi.
 
Namliopo Kwenye ndoa mjiandaee kugawana 50 Kwa 50 maana mnawatetea wenyewee na vitambi vyenu km mnavyosemaa.

Watawaburuzaa sana wanaumee wasio kuwa na akilii..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…