Niwalipe au niuze deni la Bodi ya Mikopo?

Niwalipe au niuze deni la Bodi ya Mikopo?

Hapo kwenye kuviziana unawezashangaa ameviziwa yeye na deni likaongezeka!
Kama ana uwezo wa kulipa mwache alipe
Kama ana hiyo pesa bora akaiweke kwenye mambo mengine ya msingi, hilo ni deni ambalo ulipe au usilipe hakuna anayekuja kukugongea hodi, na namna ya ukataji wake haina maumivu, usishangae 2025 likatumika kutafutia political milage mgombea wa CCM akalifuta kabisa ili kupata kura za wadanganyika
 
Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo.

Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu na mwajiriwa wa serikali leo kaniambia anashukuru kamaliza deni la bodi na kanishauri na mimi nifanye mpango wa either kuuza deni ama kuwalipa bank in a lump sum.

Ukitazama hii pesa iliyobaki tafsri ni bodi watanikata hadi 2025, nimebaki njia panda. Ipi njia nzuri na salama ya kumaliza haya makato kwa ushauri wako?
Mimi sijawalipa na sitegemei kulipa.
 
Nawewe ni jobless labda uwape SUEZ CANAL
Jobless ninayekula Asubuhi, Mchana, Jioni na Usiku, Hela ya Bando la Airtel la Mwezi sikosi, Hela ya Kutembea Jijini Dar es Salaam kwa Ubber au Bolt ipo, Hela ya Kununua Copy yangu ya Gazeti la The Citizen la Kila Siku na la The East African kila Weekend ipo, Hela ya Kununua Umeme wa LUKU wa Mwezi na Kulipia Bill ya DAWASCO kila Mwezi ipo na angalau Hela ya Kununua Nyama mara Tatu kwa Wilki sikosi.

JamiiForums nzima Jobless na Masikini mkubwa wa Kutupwa ni Mimi GENTAMYCINE peke yangu na Hongereni mlio na Kazi ( Jobs ) zenu na Fedha ( Utajiri ) hapa Jamvini JamiiForums.
 
MACHOKO hamjifichi siku hizi
Na hii reaction yako imethibitisha kuwa nimegusa penyewe. Ubongo wa binadamu ukitoa matusi Ina Mana umepata maumivu unajaribu kumpatia mwenzako maumivu Kama ya kwako. Unapata maumivu kisa umeambiwa ukweli Mana kiasilia brain haipendi ukweli , na ndio Mana ubongo huwa unafanya juu chini kufunika ukweli ili uwe kwenye Hali ya ku relax.
Nafurahi mno kusoma mind za binadamu how they're working. Karibu Tena ndugu. Kuna neno lolote umesahau la kuniambia.
 
Ipo hivi, mimi ni Mtumishi wa Serikali idara elimu, daraja langu ni E, nakatwa kiasi cha laki Moja na elfu arobain na nane mia tano (148,500/) kwa kila mwezi kama malipo ya deni la Bodi ya Mkopo.

Kwa sasa nikisoma deni langu kupitia salary slip ni millioni tatu na nusu. Katika mazungumzo yangu na mwajiriwa wa serikali leo kaniambia anashukuru kamaliza deni la bodi na kanishauri na mimi nifanye mpango wa either kuuza deni ama kuwalipa bank in a lump sum.

Ukitazama hii pesa iliyobaki tafsri ni bodi watanikata hadi 2025, nimebaki njia panda. Ipi njia nzuri na salama ya kumaliza haya makato kwa ushauri wako?
Utoa la bodi Halfu unaweka la Benki si ukichaa huo... Kwani yote si mikopo ndg.. au hutaki kuiona heslb Kwa salary slip Yako..
 
Back
Top Bottom