Niwaombe serikali pima , chunguza ,then mkanye , Niffer wenda kesho akawa msaada mkubwa katika taifa hili

kuchangisha inawezeka hakujua shida inakuja pale alipofahamishwa na majibu yake kwa kiongozi mkuu wa serikali,majibu yake hata mimi mwananchi wa kawaida yamenitisha sana..."i have strong army with me"
OK wenda hii ni agenda nyingine mkuu
 
Ishu ya Niffer sio kubwa kama ya mwenye jengo, mkandarasi na Wote waliohusika kutoa vibali.. Ishu yake haijaua hata sisimizi... Mamlaka zisiwe na double standard..
 
Mizimu ya kisukuma yote iwe upande wa jeni.
mkuu pamoja nakukalipiwa sana na wapumbavu mimi naungana na wewe.
 

Hakuna Sababu hata ya kumhoji
 
Ni mawazo yangu,niffer hakujua sheria,na sijui nia yake,helaa zichukuliwe na serekali,mumuache huru....ila serekali ina mfuko wa maafa,kwanini tena tuchangie?hizi hela zinaenda wapi?nikazi ya serekali....ila mtu anatoa kwa upendo wake ajaibiwa wala kulazimishwa....kwanini serekali inaingilia,
 
Pesa alizopokea zitaliwa nao na Taifa Stars nao wamepewa 700m. Ya Maafa haisemwi.

Niffer Oyeeeee
 
Hiyo labda iwe serikali ya kijiji sio serikali ya tanganyika..............yaani niffer kageuka tanzanite au gesi au dhahabu ndio aje kuwa msaada kwa raia milioni 60..........Acha mbanga wewe
 
Hiyo labda iwe serikali ya kijiji sio serikali ya tanganyika..............yaani niffer kageuka tanzanite au gesi au dhahabu ndio aje kuwa msaada kwa raia milioni 60..........Acha mbanga wewe
Wewe mpaka mda huu umeifanyia nini jamii yako inayo kuzunguka Achana na nchi ? Kimbwengu mzoefu
 
Kosa la huyo Muhaya ni kukosa adabu hawezi kumfokea PM.
Anataka tuwatume TRA wafuatilie biashara zake au hajui tunajua kuhusu biashara ya Ice toka China
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…