Niwaombe serikali pima , chunguza ,then mkanye , Niffer wenda kesho akawa msaada mkubwa katika taifa hili

Niwaombe serikali pima , chunguza ,then mkanye , Niffer wenda kesho akawa msaada mkubwa katika taifa hili

Pumbavu, hu kimbwengo, nimesema mapema vimbwengo pita kushoto na mada hii , acheni wenye tafakuri ya kina wajibu
Punguza jazba. Husipende kusikia tu vinavyofurahisha moyo wako, pokea vyote. Acha sindano iingie.
 
Ishu ya Niffer sio kubwa kama ya mwenye jengo, mkandarasi na Wote waliohusika kutoa vibali.. Ishu yake haijaua hata sisimizi... Mamlaka zisiwe na double standard..
Nakuelewa sana mkuu , sasa kuna vimbengo kwa chuki binafsi na uyu binti ,wanatumia mwanya huu wa taifa ikiwa kwenye majonzi penyeza uvimbwengo wao , wajinga sana hawa , nimeo hata huyu mama ,mtangazaji wa TBc bila kujali wapi ametokea mpaka kufika pale anamkandia uyu binti , uvimbengo mtupu
 
Punguza jazba. Husipende kusikia tu vinavyofurahisha moyo wako, pokea vyote. Acha sindano iingie.
Sindano ipi? Uzi huu kama hu kimbwengo usichangie ,acha wenye tafakuri wachangie , nchi hii vimbwengo mpo na shida sana
 
S
Kosa la huyo Muhaya ni kukosa adabu hawezi kumfokea PM.
Anataka tuwatume TRA wafuatilie biashara zake au hajui tunajua kuhusu biashara ya Ice toka China
Yani kusema ilikua ni ndoto yake kutamkwa na kiongozi mkuu wa nchi yake , ndo kumfokea kiongonzi? Wewe mara ya mwisho jina lako tamkwa na mwenyekiti wa mtaa wako ilikua lini, why asifulahi kwanza jina lake tamkwa na kiongozi mkuu katika nchi kama waziri mkuu , kimbwengo wewe
 
Back
Top Bottom