Niwarudishie mkopo wao NMB au niondoke kimyakimya?

Niwarudishie mkopo wao NMB au niondoke kimyakimya?

Hembi niambie we unaimani ya Dini gani?

Na ukienda kanisani unapoinama kumuomba mungu unajua kwamba kuna dhulma umafanya na yeye anaijua na kila unapo sali wakati wa kula chakula unajua kwamba mungu anataka ule jasho lako la halali,na je unahisi kwamba dua ya mtu mwenye kula dhulma mungu anaipokea?jibu hapana,mungu anajua yaliyomo mioyoni mwetu,na wenye kumuhadaa kwa maombi yao yeye hujitenga na heri na baraka zote kwa watu hao,na pia huwaadhibu katika hali ambayo hawataitarajia na kuwadhalilisha hapa hapa duniani ili iwe mfano.

Ujana usikuhadae,lipa pesa za watu nautoe taarifa.
Dini zote zinasemakwamba dhulma ni mbaya sana na haina baraka kuanzia duniani na siku ya mwisho ndio mbaya zaidi.
Usifikire huko unakoenda kwamba ndio patakuwa salam kwa hilo,maana mungu anakuona na anaona dhamira yako moyoni.
Anaweza kukupa mtihani mkubwa kama adhabu juu ya hilo,tambua kwamba unahaki ya watu.

Mifano ipo mingi tu ya mwisho wa watu wenye kudhulumu,na siku hizi mungu hakopeshi,hapa hapa tu duniani tunaona watu wanavyoadhirika.Utapea kwa muda tu ila kuna muda utakumbuka comments zangu
hizi ndio arguments zinazipoteza muda kwa kweli hao mafisadi unafikiri hawaendi kanisani na misikitini .acha kuingiza dini hapa
 
Kwani umesikia kaburi la fisadi utaingia na wewe.
kila mtu na kaburi lake.

Sitaki kuamini mtu kama wewe umechangia post nyingi namna hiyo lakini kumbe simple minded kiasi hiki?au ndio iliradi nawewe umejibu tu ili zijae?

Yaani kwa akili yako kabisaa unahisi kwamba akiiba ndio sawa,maana hii sio dhulma huu ni wizi wa pesa za Bank.
Na hakuna njia yoyote ya kusafisha wizi huu.

Kama unaamini wizi huo ndio utamsaidia haya,mwambie aibe hizo pesa za Bank.
Na wewe utakuwa shaihidi siku hiyo,hilo ulitambue.
 
Dawa ya deni ni kulipa tu ndugu yangu.....sijui unakuja kuomba ushauri ili iweje....Nyie ndo mnaosababisha vyombo vya fedha vinashindwa kujiendesha kwa kudhani umepewa hisani wkt ni wajibu wako wa msingi kulipa.Mitanzania tunabackward ideas ndo maana hatusongi wanasonga mafisadi tu......Nilikuwa na hasira kwa sababu watz wengi wana akili ya kukimbia kulipa mikopo yao....sasa nakushauri "Ukinapo pata mshahara wako mpya ambao umesema ni mzuri pia basi zingatia kupeleka marejesho yako km kawaida mpaka umalize mkopo"
 
Huo ni wizi,

Rudisha hela za benki,wengine tukope
 
Sasa hivi kuna CRB inafanya kazi, kama huamini nenda kwa jamaa wanaitwa creditinfo Tanzania uwaombe consumer report yako uangalie kilichomo ndani. Wanatoa bure report moja kwa mwaka.
Nakushauri ulipe hilo deni ili usije kuharibu credit scoring zako kizembe zembe tu!

Ni hayo tu kwa leo.
 
kutolipa ni kupoteza uaminifu kwa taasisi za fedha na jamii kwa ujumla. kwa sababu si vyema au ni ngumu kulipa kwa pamoja, wataarifu suala lako la kupata ajira mpya, wakiridhika utaendelea kulipa kwa rejesho la kawaida ukiwa kwenye ajira mpya
 
kutolipa ni kupoteza uaminifu kwa taasisi za fedha na jamii kwa ujumla. kwa sababu si vyema au ni ngumu kulipa kwa pamoja, wataarifu suala lako la kupata ajira mpya, wakiridhika utaendelea kulipa kwa rejesho la kawaida ukiwa kwenye ajira mpya

Kaaelezea vizuli , usithubutu kuchafua jina lako maana likichafuka halifutuki.
Nenda wataarifu then mtapanga nao namna nzuli ya kulipa ukiwa kwenye ajira mpya
 
Usipoteze muda, nenda karipe haraka sana ili ujiwekee mazingira mazuri ya kukopa hapo mbeleni
 
we chapa lapa tu, mimi ninA RAFIKI yangu alichukua mkopo NMB na faidika na akachapa lapa, kilichofanyika hadi leo mshahara wake unatoka wenye meno wanaula palepale halmashauri na madeni yanaendelea kulipwa kila mwezi na salary slip ya kila mwezi tunamchukulia, huu ni mwaka wa tatu sasa
Tz Tz Tz nakupenda kwa moyo wote ......!
Nchi yangu TZ jina lako ni tamu sana!....!
 
Sepa kimyakimya baaab

Niakushauri kama una uwezo kifedha walipe kabla ya kuondoka na uwaage. la, mjulishe mwajiri wako mpya na umuombe akubali kuingia mkataba na nmb aendelee kukuta mshara wako kiasi unancholipa kwa mwezi kama makato na kuwatumia nmb. dunia ni ndogo. usiharibu future yako kwa deni dogo.
 
mtumishi wa serikali umekopa halafu unawaza kulipa? Chukua pesa, sepa atajua mwajiri mbona wengi sana wanafanya hivyo.
 
mtumishi wa serikali umekopa halafu unawaza kulipa? Chukua pesa, sepa atajua mwajiri mbona wengi sana wanafanya hivyo.

Ili uweze kujua kuwa hawa jamaa ni ma "Shylock wa Venice"...Sijui kwa Bank zingine lakini mie nilichukua mkopo NBC baada ya muda kama miaka miwili nikataka niwalipe pesa yote iliyokuwa imebaki lakini walikataa katakata na kuniambia kuwa hawaruhusiwi kufanya hivyo wakati huohuo kuna wenzangu ambao hata mwaka hawakumaliza waliishia na mpaka wa leo hawajatafutwa wala ndugu zao hawajaulizwa kuwa wapo wapi na mwajiri hakudhamini bali alitoa uthibitisho tu kuwa jamaa walikuwa waajiriwa hivyo naye mwajiri hajalipa hata senti tano kwani hakuwa mdhamini
 
Chapa malapa uone jaribu bahati yako lakini lazima ilakumbuka information zako zote zipo picha na nk.ss sku ukikutwa unatafutwa magazetini na kwenye mitandao sijui itakuwaje?:A S 465::A S 465::A S 465:
 
Back
Top Bottom