Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hizi ndio arguments zinazipoteza muda kwa kweli hao mafisadi unafikiri hawaendi kanisani na misikitini .acha kuingiza dini hapaHembi niambie we unaimani ya Dini gani?
Na ukienda kanisani unapoinama kumuomba mungu unajua kwamba kuna dhulma umafanya na yeye anaijua na kila unapo sali wakati wa kula chakula unajua kwamba mungu anataka ule jasho lako la halali,na je unahisi kwamba dua ya mtu mwenye kula dhulma mungu anaipokea?jibu hapana,mungu anajua yaliyomo mioyoni mwetu,na wenye kumuhadaa kwa maombi yao yeye hujitenga na heri na baraka zote kwa watu hao,na pia huwaadhibu katika hali ambayo hawataitarajia na kuwadhalilisha hapa hapa duniani ili iwe mfano.
Ujana usikuhadae,lipa pesa za watu nautoe taarifa.
Dini zote zinasemakwamba dhulma ni mbaya sana na haina baraka kuanzia duniani na siku ya mwisho ndio mbaya zaidi.
Usifikire huko unakoenda kwamba ndio patakuwa salam kwa hilo,maana mungu anakuona na anaona dhamira yako moyoni.
Anaweza kukupa mtihani mkubwa kama adhabu juu ya hilo,tambua kwamba unahaki ya watu.
Mifano ipo mingi tu ya mwisho wa watu wenye kudhulumu,na siku hizi mungu hakopeshi,hapa hapa tu duniani tunaona watu wanavyoadhirika.Utapea kwa muda tu ila kuna muda utakumbuka comments zangu
kutolipa ni kupoteza uaminifu kwa taasisi za fedha na jamii kwa ujumla. kwa sababu si vyema au ni ngumu kulipa kwa pamoja, wataarifu suala lako la kupata ajira mpya, wakiridhika utaendelea kulipa kwa rejesho la kawaida ukiwa kwenye ajira mpya
Tz Tz Tz nakupenda kwa moyo wote ......!we chapa lapa tu, mimi ninA RAFIKI yangu alichukua mkopo NMB na faidika na akachapa lapa, kilichofanyika hadi leo mshahara wake unatoka wenye meno wanaula palepale halmashauri na madeni yanaendelea kulipwa kila mwezi na salary slip ya kila mwezi tunamchukulia, huu ni mwaka wa tatu sasa
Sepa kimyakimya baaab
mtumishi wa serikali umekopa halafu unawaza kulipa? Chukua pesa, sepa atajua mwajiri mbona wengi sana wanafanya hivyo.