Hakuna haja ya kuwaza sana kiwatafuta watu wanaofanya mambo ya kuhatarisha amani,Ni vijana baadhii wa CCM ndiyo wanahatarisha amani,kama juzi mlimsiki katibu wao Nchimbi licha ya kupiga marufuku ule wimbo wa vijana wao waliyoimba.
Wapinzani wakifa wao hawawezi kulia watawatupa mtoni wawe chakula cha mamba.Si hiyo tu viongozi wa vijana wa CCM baadhi wametowa matamshi ya uchochozi kama vile CCM itashinda hata kwa mabomu,wengine wamesema watawapoteza watu.
Sasa ninyi polisi mnataka watu gani zaidi wanaozua taharuki na wanaohatarisha amani zaidi ya hawa?